Recent content by umucyo

  1. U

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwanaume anaweza kuonesha dalili za Ujauzito badala ya Mkewe

    Inawezekana sana Tena sana Huku kwetu , ukijichanganya kwa wazee, utashangaaa Kila mda unabanwa na haja ndogo. Unaweza kudhani umepatwa na kisikari ghafura kumbe wazee wanakutuma.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Manzoki kama Fei Toto tu

    Ndiyo unalijua Leo?[emoji848]
  3. U

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amewahi kucheza Soka?

    Ndio
  4. U

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

    Japo hayo ulio yanatendeka huko ,lakini Huo utafiti wako kitakwimu umebuma.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Namsaidiaje mtu anayepatwa na hii hali

    Dawa ya kutuliza kabla ya Ile miruzi ya firimbi, ni gongo.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Zitto acha kutafuta kiki, mbona hukushitaki hao washirika wako CCM leo unashoboka?

    Lakini tuulizane na tuambizane ukweli. Wewe unaamini Serikali inaweza kumiliki wadunguaji wa aina Ile?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Hii ndio style tamu inayoamsha hisia za kungonoka

    Mama piga [emoji1630] stop hii kitu.inatuharibia CCM.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo mnamkosea Yesu heshima mnapomchora

    Toka shetani.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Alexander Mnyeti kuburuzwa Mahakamani ni ushindi kwa wapenda haki Tanzania

    Usijibu kwa sababu hutokua na majibu. Hiyo msoga ilimaliza zama zake na Yale yalio stahiki kufanyia yalifanyika kwa uwazi ikiwemo mawaziri 2 kuhukumiwa kwenda jera. Ilipo wadia Chato kushika hatamu , yakaundwa makundi kinyume na Sheria yakushughulikia watu na kuwaumiza kisiasa ,kiuchumi ,na...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

    Kibwetere ni levo nyingine kabisa. Kati ka dhama za utandawazi, Kuaamnisha watu hadi kuwatia kiberiti sio mchezo.
  11. U

    JamiiForums Tanzania TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

    Mfanyabiashara ambaye haagizi, lakini kasajiliwa VAT anauziwa jumla bila kupewa risiti. Swali kwanini hapewi risiti? Je hiyo tabia imekua kanuni kwa kwa wauzaji wote wa jumla?
  12. U

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kufanikiwa kwenye maisha ni bahati, connection, mipango au Mungu?

    Ili hoja Yako isiwe dhaifu , ondoa 5 , kibeho Haina tofauti na kikombe Cha Babu.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kufanikiwa kwenye maisha ni bahati, connection, mipango au Mungu?

    Na wale tusio amni katika nyota inamana hatuna bahati?
  14. U

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kufanikiwa kwenye maisha ni bahati, connection, mipango au Mungu?

    Bahati ni nyota? Kama ni nyota sikila mwana wa Adam anayo nyota ya kwake?
Back
Top Bottom