Umezaliwa lini? Mimi kijana wa Milenium kwakweli napenda kusikiliza Hip Pop hasa ya zamani. Mbona wakati tunakua tulikuwa tunawaona wazee wanasikiliza miziki yao na walikuwa wanaisifia na kuiponda miziki yetu! Kwa nini sisi vijana tusisikilize muziki kama sehemu ya kuburudisha akili?
Tangu nikiwa mdogo nasikia katika jamii yetu watu wanaonywa kuoa watu wa kaskazini hasa Wachaga na Wahaya kwamba lazima yatakukuta tu huko mbeleni. Makablia ya nyanza za juu kusini sijawahi kusikia sana yakituhumiwa labda kidogo Wanyakyusa
Mimi nipo nutro. Kosa alilolifanya Urusi ni kipindi kile ameweka msafara wa vifaru na magari ya kijeshi kilomita 60 kuelekea Kievu akaamua kurudi nyuma sijui alirudishwa. Urus alitakiwa aimalize Kiev kipindi kile.
Kosa alilolifanya Urus ni kuieteka Donbass na kuridhika kwamba hiyo ni sehemu ya...
Labda hao X-plastaz waliwasiliana nao lakini ratiba zao zimebana mana inaonekana wanaishi Uholanzi. Kwa jinsi wandaaji wanavyotaka kiki sidhani kama hawakufanya jitihada za kuwatafuta Xplastaz!
Habari haijakamilika! Amegoma kuhama kwenye nyumba ya kupanga au ya shule? Mnaweza kumuona kama chizi lakini je yeye anasemaje kuhusu kutohama? Je, amelipwa hela ya nauli na mizigo kama mwongozo unavyosema?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.