Recent content by UMBEEE

  1. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?

    Swali lako ni la msingi sana—na linaonyesha unafikiri kwa kina! 👏 Hebu tuchambue kwa uangalifu kuhusu swali hili muhimu: --- 📖 Je, Mtume Petro ndiye Papa wa kwanza? ✅ Ndiyo – Kwa mafundisho ya Kanisa Katoliki Kanisa Katoliki linamchukulia Mtume Petro kama Papa wa kwanza, ingawa jina "Papa"...
  2. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mpira umeisha
  3. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    K9
  4. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania Hawa ni Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD

    EZekiel Malongo jamaa wa mpira
  5. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

    Zinaitwa PreP na siyo PEP
  6. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

    Hizo dawa zipo lakni enyewe umeza kwa sku 5 kwanza ndupo utapata kinga dhidi ya ukimwi na ni muendelezo kunywa mpaka pale utakuwa mbali na hatari ya kuambikizwa ukimwi.. Kwa mfano mtu kazi yake ni kujiuza kwa njia ya ngono. Huyo kwenye hatari kwa hiyo huyo mtu anatakiwa ameze hizo dawa kwa siku...
  7. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa afya na Wakemia Tanzania, mbona kimya kuhusu ugunduzi wenu wa dawa ya Coronavirus?

    Wapo kaka kuna proffesor wangu anataka kufanya utafiti juu ya chanjo ya korona lkn anaona gharama ni kubwa mnoo ameshaandika proposal Sent using Jamii Forums mobile app
  8. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania Ukifanya mchezo na tatizo la msongo wa mawazo tutakupoteza

    Leo nimekutana na hii hali ya msongo wa mawazo. Kumbe hata kutembelea mitandao inasidia kupunguza namshukuru Mungu nimejikubali kwa hali yeyote Sent using Jamii Forums mobile app
  9. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Nimebadili lkn bado inasumbua
  10. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Ina miaka 3
  11. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Tecno
  12. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Jamani simu yangu touch ya back zile ya chini yaani za kushoto na kulia zimegoma kutouch nimejaribu kuweka touch mpya lkn mambo ni yaleyale naombeni msaada. Cm yangu ni J5
  13. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania Shule ya kwanza Tanzania

    HII NDIYO SHULE YA KWANZA KABISA KUJENGWA TANZANIA. Mwaka 1848, Mmishonari wa Kijerumani Dk Johan Ludwig Krapf, alitembelea kijiji cha Magila kilichopo Muheza mkoani Tanga akiwa katika safari zake za Afrika Mashariki. Magila kuna mlima ulio katika safu za milima ya Usambara ukipakana na mlima...
  14. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania Vita ya Uchumi: Bei ya mbaazi yashuka hadi kufikia Tsh.50 - Tsh.200 kwa kilo

    Usiongee kisiasa njo kwa wakulima vijijini uone tunavyoumia hiyo soko limesemwa juzi tu na hatuna uhakika kama zitanunuliwa. Yaani we acha kabisa tumelima lkn hata gharama za kilimo hazirudi tumerundika mbaazi store tu.
  15. UMBEEE

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    hoja yangu ni kwamba sisi was kanda ya kaskazini hususani wilaya za babati Karatu ATM ziko chache mfana halmashauri ya babati ATM iko mjini tu na Karatu pia iko moja pale mjini tu sasa inatuwia vigumu MTU kusafiri mwendo mrefu mngeweka ATM kwenye raasisi kubwa kwa mfano pale babati mngeweka...
Back
Top Bottom