Hata awe na dushe kama punda ni useless kwa dunia ya leo.
Kikubwa mwambie mtoto wako wa kiume kuwa hakuna mtu duniani wa kumuonea mwanaume huruma.
Akaze haswa kabla hajakazwa na walimwengu.
Habari za leo?
Kwa miaka zaidi ya 13 nimekuwa memba ndani ya JF nimeona na kupata msaada mkubwa wa mawazo toka kwa memba wenzangu asanteni sana.
Kuna kijana wangu wa kiume amemaliza kidato cha nne miaka kadhaa nyuma na hakufanya vizuri katika hayo masomo yake.
Sasa anahitaji kupata chuo au...
Kiswahili na Kiingereza zote ni lugha rasmi ndani ya Tanganyika (official languages) mtu anapoamua kuchanganya siono kosa wala ujuaji wake.
Ni sawa na kula wali na maharage vyote ni vyakula na vyote vinaingia tumboni na kutoka kwenye "anus"
Tusome na tupeleke shule watoto tusione kuongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.