Recent content by UlipoTupo

  1. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Umetisha
  2. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Lewis
  3. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Usijiulize sana, act immediately
  4. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania Je, alichofanya mke wa Emmanuel Eboue miaka ile ilikuwa ni ubinadamu?

    Ilikuaje mwanamke apewe mali zote na sio wagawane kama ilivyo kwa case ya Hakimi.
  5. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Endelea kupiga shot on target [emoji23][emoji23], tutapata tu goli. Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  6. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana kuona mke wa mtu anazini ndani ya usafiri wa umma, tena akiwa na mtoto mdogo

    Inabidi muhusika akatuandikie vizuri kule kwenye kula tunda kimasihara. Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  7. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania WhatsApp status ni chanzo cha kuumiza ma Ex kama namba zao hujafuta

    Inabidi usiview kabisa hapo ndio itamuuma zaidi... anaweza hata post tena kesho yake Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  8. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania Aina za ma Ex

    Dah ulijilipua mzee[emoji119]...kusomesha ni moja ya risk taking. Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  9. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri ili nifanye maamuzi sahihi

    Kadri unavyovuta muda ndo unaharibu, wewe mchane mapema kabisaa otherwise utaingia kwenye mtego wa ex na ndo ataharibu vizuri sasa. Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  10. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Uzi unasubiriwa uku Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  11. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania Wanaona gere

    Kwani Kuna part 1...maana ata sielewi kuna nini[emoji23][emoji23] Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  12. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

    Apo ulichukua shamba lenye mgogoro mwanetu.
  13. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Mambo hayo
  14. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Binti unataka upotee njia uku mama anashuhudia...haiwezekani alooh nenda kanisani
  15. UlipoTupo

    JamiiForums Tanzania Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Mzazi yupo sahihi kwasabu anaamini wewe kwenda church ni njia moja wapo ya kukusaidia kubaki kwenye mstari sahihi lakini pia kwa faida ya familia yako baadae, maana kama ambavyo yeye anajitahidi kuhakikisha unasali ndivyo ambavyo wewe utatakiwa kufanya hivyo kwa wanao...otherwise itakua ni...
Back
Top Bottom