Naomba ushauri ili nifanye maamuzi sahihi

Hellow

Guys nina girl friend nampenda sana sana hivi juzi nilimwambia naomba meeting aje na rafiki yake home

Akasema no hawezi kuja labda mimi ndio niende kwake nikakubali kufika pale nakutana na rafiki yake ambaye alikuwaga ex wangu kipindi hiki niko shule ya upili

Sasa kufika pale nikajikausha kama simjui tangu nimekaa pale yule ex amekuwa akinitega sana nikatoka sebleni nikamwambia naenda kupumzika nikiwa room kaja tena kagonga mlango nikamwambia pita

Ndipo akapata nafasi ya kuongea na mimi akasema kuwa amwambie mchumba wangu ukweli wote kuhusu mimi na yeye mahusihano yetu au lah yeye amwambie na nikitaka asijue basi nichague kuludiana na yeye uku akiniongea kwa mitego

Mpaka sasa sijamwambia my lovery lakini yule ex bado anaendelea kutuma mapicha picha na sms za mitego na mimi simu huwa nikiwa na my lovery na mwachia hadi jf mda mwingine ana comment badala yangu

Nifanyeje wakuu
Kurudiana na x ni kula matapishi ya makande mkuu Bora ule wali samaki wako na maziwa na tui la Nazi namaanisha huyo lovery wako kuliko kurudi nyuma muulize (kondeboy) kilichomkuta 🤣🤣🤣🤣
 
Hellow

Guys nina girl friend nampenda sana sana hivi juzi nilimwambia naomba meeting aje na rafiki yake home

Akasema no hawezi kuja labda mimi ndio niende kwake nikakubali kufika pale nakutana na rafiki yake ambaye alikuwaga ex wangu kipindi hiki niko shule ya upili

Sasa kufika pale nikajikausha kama simjui tangu nimekaa pale yule ex amekuwa akinitega sana nikatoka sebleni nikamwambia naenda kupumzika nikiwa room kaja tena kagonga mlango nikamwambia pita

Ndipo akapata nafasi ya kuongea na mimi akasema kuwa amwambie mchumba wangu ukweli wote kuhusu mimi na yeye mahusihano yetu au lah yeye amwambie na nikitaka asijue basi nichague kuludiana na yeye uku akiniongea kwa mitego

Mpaka sasa sijamwambia my lovery lakini yule ex bado anaendelea kutuma mapicha picha na sms za mitego na mimi simu huwa nikiwa na my lovery na mwachia hadi jf mda mwingine ana comment badala yangu

Nifanyeje wakuu
Kwani una mpango gani na "my lovery" wako?
 
Kadri unavyovuta muda ndo unaharibu, wewe mchane mapema kabisaa otherwise utaingia kwenye mtego wa ex na ndo ataharibu vizuri sasa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hellow

Guys nina girl friend nampenda sana sana hivi juzi nilimwambia naomba meeting aje na rafiki yake home

Akasema no hawezi kuja labda mimi ndio niende kwake nikakubali kufika pale nakutana na rafiki yake ambaye alikuwaga ex wangu kipindi hiki niko shule ya upili

Sasa kufika pale nikajikausha kama simjui tangu nimekaa pale yule ex amekuwa akinitega sana nikatoka sebleni nikamwambia naenda kupumzika nikiwa room kaja tena kagonga mlango nikamwambia pita

Ndipo akapata nafasi ya kuongea na mimi akasema kuwa amwambie mchumba wangu ukweli wote kuhusu mimi na yeye mahusihano yetu au lah yeye amwambie na nikitaka asijue basi nichague kuludiana na yeye uku akiniongea kwa mitego

Mpaka sasa sijamwambia my lovery lakini yule ex bado anaendelea kutuma mapicha picha na sms za mitego na mimi simu huwa nikiwa na my lovery na mwachia hadi jf mda mwingine ana comment badala yangu

Nifanyeje wakuu
Sasa kumbe sasa hivi nitakuwa sikuquote tena wala kukujibu kumbe naweza kuwa najibizana na shemeji wakati huo mimi nakuheahimu mwamba.
 
Hellow

Guys nina girl friend nampenda sana sana hivi juzi nilimwambia naomba meeting aje na rafiki yake home

Akasema no hawezi kuja labda mimi ndio niende kwake nikakubali kufika pale nakutana na rafiki yake ambaye alikuwaga ex wangu kipindi hiki niko shule ya upili

Sasa kufika pale nikajikausha kama simjui tangu nimekaa pale yule ex amekuwa akinitega sana nikatoka sebleni nikamwambia naenda kupumzika nikiwa room kaja tena kagonga mlango nikamwambia pita

Ndipo akapata nafasi ya kuongea na mimi akasema kuwa amwambie mchumba wangu ukweli wote kuhusu mimi na yeye mahusihano yetu au lah yeye amwambie na nikitaka asijue basi nichague kuludiana na yeye uku akiniongea kwa mitego

Mpaka sasa sijamwambia my lovery lakini yule ex bado anaendelea kutuma mapicha picha na sms za mitego na mimi simu huwa nikiwa na my lovery na mwachia hadi jf mda mwingine ana comment badala yangu

Nifanyeje wakuu
Mrudie kisha mlepeleke mpalangeni hatarudia tena ujinga wake.kaadhabu ka muda kemye mnyoosho
 
Back
Top Bottom