Simtetei mramba Ila uhalisia bwawa la mtera halina maji kutokana na mvua chache za msimu uliopita ukizingatia maji Haya haya ya mtera yanakwenda kusukuma na mashine za umeme za kidatu watanzania wenzangu kwa unyenyekevu tumuombe mungu atuletee mvua za kutosha tuwe na umeme wa kutosha kama...
Napingana na wewe mramba sio mkurugenzi wa mvua ni mkurugenzi wa shirika la tanesco tuungane nae kumuomba mungu atushushie mvua za kutosha binafsi naamini bwawa likijaa hata Leo uwezi kusikia mgao kuanzia Leo nafkiri umeme wa vyanzo vya maji bado unanafi kubwa kwenye taifa letu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.