Nimetimiza ahadi, RIP kadi ya CHADEMA

Nimetimiza ahadi, RIP kadi ya CHADEMA

Uwe unaangalia jukwaa kabla hujapost siasa zako za uchuro
 
Mpaka awe nacheo we hujui kwenye mia ukitoa moja haitasomeka mia tena jiangalie mtaisha kidogo kidogo
 
Nimetimiza ahadi, R.I.P KADI YA CHADEMA.

View attachment 142561

Mimi si kama Mbowe alitangaza hadharani kuwa hachukui gari ka serikali lakini alikwenda kinyere kulichukua,,,ametufanya watanzania wajinga,,,namshukuru mungu kwa kutimiza ahadi yangu, kwa hili nimejitafautisha na Mbowe.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kwanza-ni-kuipiga-kibiriti-kadi-chadema.html

Njano5.
0784845394.
SO UMEWEKA NA NAMBA YAKO ILI MAGAMBA WAKUPIGIE WAKU~ENLIST KTK BUKU 7 ZA LUMUMBA SIO/be strong,lookat your grandaugher future njaa ya leo kilio cha kesho!
 
Mpaka awe nacheo we hujui kwenye mia ukitoa moja haitasomeka mia tena jiangalie mtaisha kidogo kidogo

ikumbukwe hata cdm ilianza na mtei kisha na hawa wenye mapovu ndo wakajiunga. hata kuanguka kwa cdm wanaanza wasio na vyeo ila wenye kujitambua mpaka abaki brother na mkwewe.
 
Invincible,

Kwa hili la CCM mimi sipo, lakini mimi pia Sio CHADEMA wala CUF wala JAHAZI Asilia...

Issue hapa ni kwamba ukivaa kofia ya kimojawapo, hutaweza kudigest reality hata kidogo, ndio maana narudia tena,,, Tukosoe Mfumo,,, sio watu, mfumo unatakiwa umuadabishe mtu yeyote akiwa rais, DC, RC etc... sio kutegemea nia njema ya mtu fulani au kukoromea watu fulani...

Mambo mengi yanayotokea yanasababishwa na wananchi wenyewe,,,

Pili, Nadhani mimi napenda reality zaidi kuliko kusukumwa na Maneno yakina Mnyika etc...

e.g. Mkumbo alikuwa mwenye kutoa hoja nzuri sana lakini alivyovaa kofia ile nyingine hutaamini kwamba ni Kitila yule yule...

JF inaelekea unahitajika kuwa mpiga debe wa CHADEMA ndio watu watakusoma vizuri, mimi sio, Ingawa najua at least ndio chama ambacho kingetusaidia kama wangeendelea na moto ule ule wa 2005... Ila sasa hivi naona kama mkaa unaisha kunabaki majivu...

Wewe hujitambui, unatafuta umaarufu, anakujua nani wewe kapuku? Kafie mbele kule kinyago cha mpapule
 
sawa ndio siasa za tanzania au afrika kwa ujumla,siasa ni itikadi,hivi ulisha wahi kumsikia mtu katoka democratic amekwenda republican?katika maisha yako yote?
siasa ni itikadi mkuu,unajiunga na chama kwa kufuata itikadi si mtu.
ok kila la kheri ila jua hata Musa alipo toweka,alipatikana JOSHUA
na hata kwenye vyama vya siasa wakina NAHAMANI wapo wengi ila tunamuomba Mwenyezi MUNGU akashughulike nao hao wakina NAHAMANI
 
Mzigo huu afadhali umejitoa chadema maana kwanza haujawai kulipia kadi ya chama na wala haujawahi kushiriki shughuli yoyote ya ujenzi wa chama...hii ndio mizigo ambayo Dr.Slaa kaipa ruhusa ya kuondoka chadema mapema.haya kuna jalala la matakataka linaitwa ccm na majalala mengine madogo ya act uende huko maana wewe ni takataka kabisa
 
Nimetimiza ahadi, R.I.P KADI YA CHADEMA.

View attachment 142561

Mimi si kama Mbowe alitangaza hadharani kuwa hachukui gari ka serikali lakini alikwenda kinyere kulichukua,,,ametufanya watanzania wajinga,,,namshukuru mungu kwa kutimiza ahadi yangu, kwa hili nimejitafautisha na Mbowe.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kwanza-ni-kuipiga-kibiriti-kadi-chadema.html

Njano5.
0784845394.

Safi sana mkuu. Huo ni ujasiri mkubwa mno.

Sasa huu ni wakati sahihi wa watu wote waliong'amua uongo, unafiki na uhafidhina wa mbowe na slaa kuiga mfano huo.
 
Hongera Mkuu, umetendea haki nchi yako, vizazi vijavyo vitafaidika na maamuzi yako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom