Kansa Mbarouk: Msajili wa vyama vya siasa atanilinda

Kansa Mbarouk: Msajili wa vyama vya siasa atanilinda

ni bora kijana awe na njaa kali kiasi hiki tunaweza kumwelewa, lakini dingi wa miaka 50+ duh..... Huyu akipewa chama si ni balaa!!
 
Hivi hawa wanaomshokea Mbowe anawa=JoisiNkya nn. Naona hawajitambui!!!!!!!!!!!
 
Kwani kuna ubaya gani wakipambana na Mbowe acheni demokrasia ichukue mkondo wake.

Mbona Shibuda alitaka kugombea urais baada ya Kikwete kumaliza awamu yake ya kwanza mkamchimba mkwara hadi akaamia upinzani kwa nini msimwache akapambana na Kikwete ili kutekeleza Demokrasia mnayoitaka iwepo CDM?
 
Hivi hawa wanaomshokea Mbowe anawa=JoisiNkya nn. Naona hawajitambui!!!!!!!!!!!

Wewe ulipomshobokea yule Mwenyekiti aliyepita bila upinzani wala kupingwa huwa anakufanya nini?
 
Kansa na wafuasi wake wanahangaika sana.
Naona mnapiga sarakasi kwenye miiba.
 
Back
Top Bottom