Recent content by ulimbaga

  1. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    kwamba huu uzi wote hajapatikana mganga? au ni watu wanaogopa wataonekana washirikina[emoji3]
  2. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

    kiukweli hili ni janga sana japo hawa wanawake wapo wa aina mbili kuna ambao huwa wanaenda kwa lengo la kufanya na hao ma beach boy na kuna wale wasiojua chochote na hawa ndio waathirika wakubwa wa hili tatizo na kibaya zaidi hawa vijana wengi wao ni waathirika na kama unavyojua mapenzi ndani ya...
  3. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

    inaonekana hujui mifumo ya beach ipoje mimi huwa naona sana hii michezo beach ya mji mwema na nilishawahi kushuhudia binti aliyeyelekezwa na mwalimu wake kisa kabaniwa sikujua kama alikufa au alipona baada ya kuokolewa na kukimbizwa hospital akiwa hajitambui tena kwa daladala iliyokua imewaleta...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ex wangu anataabika hadi namuonea huruma, nimsaidie?

    Kama una mtoto nae msaidie, kama hauna mtoto nae mwache apambane na hali yake au labda kama unataka kurudisha majeshi fresh
  5. U

    JamiiForums Tanzania NO VPN: TCRA imedhamiria kutunza na kulinda maadili ya Mtanzania

    wangeanza na tik tok kisha telegram wapingaji wapinge kama kawaida yao ila ukweli mitandao ina mchango mkubwa sana katika kupoteza maadili hali ni mbaya sana udhibiti unahitajika sana
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tunza MSG za Miamala ya Fedha, Ningelala Selo leo

    ila pia hakufikiria vizuri maana pia ungeweza kuomba statement ya miamala yote na bado ingeonekana
  7. U

    JamiiForums Tanzania Maana ya Kiroho ya namba 1-9

    kwa hiyo unachukua namba yako mf labda ni 42 kisha unaunganisha kama hivi Nambari ya 4 inaashiria mawazo chanya, mitazamo chanya, na fikra chanya Nambari ya 4 pia inahusishwa na msaada wa kiroho, kutia moyo, upendo, kujitambua, na ujuzi wa nguvu za ndani za kibinafsi Nambari ya 2 inahusishwa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mabinti wamekuja tena na style mpya ya kupiga picha

    ogopa sana mwanamke anayedhani matako ndio uzuri
  9. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanatesa wanaume mabwege

    ni wanaume hawa wa leo wakiona mwanamke wanakua kama inzi aliyeona kidonda
  10. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kupekua simu ya mwenzi wako pale anapokuwa yupo au hayupo?

    kukagua simu ya mwenza ni ishara ya uaminifu kupotea pia ni mbinu nzuri ya kumuacha uliyemchoka maana utakua na sababu
  11. U

    JamiiForums Tanzania Hivi udi unafukuza kweli harufu ya bangi kama unavutia geto?

    dawa nzuri ya kufukuza harufu gheto ni kuacha bangi[emoji3][emoji3]
  12. U

    JamiiForums Tanzania Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

    tatizo vijana hawajiamini hilo ndio tatizo ila hakuna ungonjwa labda kama mtu alizaliwa nao kula vizuri fanya mazoezi mepesi jiamini
  13. U

    JamiiForums Tanzania Platnum Credit wanidhulumu

    kuna hatua uliruka wakati unataka kuclear deni lako ndio maana umepata changamoto nenda makao makuu yao mtafute mtu anaitwa juliasi atakusaidia niliwahi kuwa na changamoto kama hiyo yako iliisha lakini
  14. U

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: C.O.D.EX.

    tupooo tuendeleeeee
Back
Top Bottom