Kwa shughuli za editing nashauri utumie Mac Pro sema bei imesimama sana,ila kibongo Bongo nashauri I Mac au MacBook Pro hizo zina himili shida kwenye rendering kikubwa uwe ram za kutosha,ila kwa hizo Mac mini na MacBook air zinasumbua kufanya kazi za production siku ukiwa na mzigo mkubwa utakuja...
Zama zime badilika mambo yamekuwa mengi,Muda umekuwa hautoshi na mambo yamekuwa mengi,Utandawazi umekuwa na Elimu zimekuwa nyingi na hakuna mipaka ya kupata maarifa mapya.
Ugumu wa maisha changamoto za kifamilia kiuchumi Siasa na mahusiano ni moja kati ya vitu ambavyo vina vuruga akili ya...
Kwanza ni kosa kuishi na mtoto wa watu bila ndoa,na ukijichanganya siku ya kwenda kutoa mahari ndio utajuwa hujuwi maana wata kukomoa kwa kuwa umeanza kuishi na binti yao bila kufuata taratibu ni kosa kuishi na mwanamke ki nyumba bila kufuata taratibu,kumbuka huyo ni binadamu lolote linaweza...
Kila mahali huwa kuna uswahilini kwake na ushuani pia haimaanishi wote wanaoishi eneo fulani watakuwa na hali zinazo lingana.
Unaweza ona majimatitu ndio sehemu ya chini kabisa ila kuna sehemu nyengine ukafika ukaona bora kule kuna afandhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.