Recent content by ukuta2013

  1. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanafunzi wa UDSM (COET) agongwa na gari

    Duh Jambo la Mwaka 2015 una-comment leo Mwaka 2020. Kunywa maji Mzee
  2. U

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya Faizafoxy 5: Mtego wa panya, Rushwa, Ufisadi, Siasa, Uchumi, vimenasa vyote?

    Uchumi IMARA kokote duniani, MALORI ndio yanapaswa kuihudumia RELI. Na kimsingi walioziua RELI za Mjerumani na Mchina ni hao hao wamiliki wa MALORI ambao wengi wao walikuwa watunga SERA au marafiki zao eidha kwa rushwa au kwa kujuana. Sasa naona wanarejea tena kwa mlango wa DEMA
  3. U

    JamiiForums Tanzania CCM yawasamehe wanachama wake wanne waliofukuzwa. Yamteua Abdallah Mtolea kugombea ubunge jimbo la Temeke

    Mbona hamna update, au mkutano umezuiliwa?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Elimu Kibaha kupisha uchunguzi

    Hivi kuna haja kweli ya kuendelea kuwa na hili shirika la elimu Kibaha? Shirika hili limejaa madudu mengi sana. Huduma inayotolewa na hospitali ya Tumbi ni ya ovyo.
  5. U

    JamiiForums Tanzania MADAWA YA KULEVYA: RC Makonda na Kamanda Sirro waongea na wanahabari

    Tetesi?? Hueleweki mkuu
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nyama kuanza kutengenezwa maabara

    Mbona uliweza kula nyama za wanyama wakuchinja? Haya mambo ni mazoea tu na tamaduni ulizozikuta au ulizozirithi ulipokuja hapa duniani. Ndio maana unaona leo kuna watu wanakula nyoka, panya, nguruwe n.k lakini hapo hapo kunawengine hawatumii unajua kwanini?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua mabalozi, Emmanuel Nchimbi aula Brazil

    Sentensi nzuri..... Amewapangia vituo vya kazi.....
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!

    "ina maana wanawake walioteuliwa ndio wanaowaponza au wanaowaangusha wenzao kutokana na underperfomance zao"
  9. U

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga: Rais kavunja katiba kuteua wabunge wa kiume 6, inataka wawe wanawake angalau 5

    Ndalichako, Mbarawa, Mahiga, Mpango, Kabudi na Bulembo. Ni hao tu ambapo mwanamke ni mmoja Ndalichako. Huyo wa sita mwanaume ni nani?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Watu wa fani ya ushushushu wanasema wana hisia sita hivi hiyo ya sita ni ipi?

    No 6. Security conscious
  11. U

    JamiiForums Tanzania Pengine sababu ya kutumbuliwa DCI Diwani Athuman ni hii....

    Kuna tofauti kati ya ofisi ya DPP na DCI, msichanganye mambo
  12. U

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    game Saa ngapi?
  13. U

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali, Top 10 shule za serikali zimerudi

    Private schools wameingiza shule tano (5) na Government schools tumeingiza shule 5. Nusu kwa nusu
Back
Top Bottom