Mwelewa
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 2,343
- 3,286
Natumia soymilk kupata Vitamin B12.unatumia tabs za vitamin B12 lakin mkuu.....kwenye nyama hatupati proteins tu....
Mkuu ukiamua kuwa vegan au vegetarian inamaanisha umeamua kuiahi maisha ya kujifunza. Na hapa namaanisha kujifunza kuhusu afya na vyakula pia.
Wewe ukiamua kuwa vegetarian basi utakula samaki, mayai na maziwa wala huto hitaji kujali kuhusu Vitamin B12 kwasababu vyakula vyote hivi hina Vitamin B12.
Pia mwili unahitaji kiasi kidogo tu cha Vitamin B12