Recent content by UKUILAIBRAH

  1. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traoré wa Burkina Faso na wafuasi katika chungu kile kile cha fikira haba kuhusu maendeleo

    lakini kabla ya kwenda asia na kuja africa tayari walikuwa wameshafanya mapinduzi ya viwanda na walishaendelea, je huoni kama africa inahitaji mtazamo mpya kuhusu maendeleo leo, nchi kama thailand haina vivutio vingi vya utalii ila ni miongoni mwa nchi zinazopokea watalii wengi kwa mwaka
  2. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inakusudia kukodisha uendeshaji wa Bandari 5 ili kukabiliana na ushindani wa Bandari ya Dar es Salaam

    bandari zote kubwa duniani zinaendeshwa kwa mfumo PPP
  3. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    mkuu kwani our hadithi mpaka december ndo itaendelea kwa hapa hapa katikati kuna vijistory vitapita je utaturuhusu tuje kuunganisha dot na our main story ya december:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
  4. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania Jinsi Putin alivyoifanya Urusi kuwa kubwa tena

    afghanstan mbona amekimbia mwenyewe, vietnam aliaibishwa vibaya mno mbona hamyasemi hata kumpata. kama ni mwamba mbona lishindwa kujua osama bin laden kujua alifichwa wapi mpaka pale jeshi la pakistan lilipoamua kuwaonyesha, kama ulikuwa hujui Saddamalikuwa kibaraka wao ila walipoona...
  5. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania Haya Ndio Mataifa huru duniani

    nani ali nani aliyekuambia huawei kapotea kwenye ramani ya dunia, ili hali 5G za nchi dunian mitambo ni yake. na anafanya majaribio ya 6G
  6. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Jumamosi, Putin, Lukashenko na Prigozhin wameuthibitishia ulimwengu kwamba wao ni "gangsters" halisi na Russia si nchi ya kuichezea

    kuna wamba wako nyuma ya putin hao ndo hatari kuna mwamba anaitwa roman abramovich
  7. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

    trust me dp world ataenda kuwafunga watu midomo na kusema kwa nini walichelewa kuja husussani tz ni potential kwenye swala la mizigo
  8. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania Taliban wavamia Iran na kuteka eneo

    huawei haijafa na nchi tu zinatumia mitambo ya huawei ya 5G, kutokana ni gharama nafuu,bali walivyopigwa sanctions na marekani walipunguza uzalishaji wa simu, kwa taarifa yako huawei alilkujana operating system yake
  9. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania Diamond sauti yake haina ladha tena, tumechoka

    jamani ndo kazi yake hiyo kachagua
  10. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania Diamond sauti yake haina ladha tena, tumechoka

    kaka muda haujafika muacheni atengeneze hela kwa maana hiyo ndokazi yake
  11. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania Diamond sauti yake haina ladha tena, tumechoka

    binadamu hmna jema akiimba nyimbo za kuparty hamtaki, akiimba kawaida kama alivyoanza mnaita old fashioned style basi hao ambao wanapambana nae au ambao ndo wapo kwenye trend kwa sasa wafanye angalau kumfikia robo lakin bado wanajikongoja
  12. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

    GSM kawa maarufu kwa kuidhamin yanga ila kuna binadamu tanzania wana pesa ila hawana kelele
  13. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania Katika ajali ya ndege Iliyotokea juzi CCM imeonesha kwanini ni Chama Tawala mpaka leo na kwanini CHADEMA imeshindwa hata kupaka rangi ofisi zake

    ndege kuvutwa na kamba inaonyesha ni jinsi gani ambavyo serikali ya ccm imeshindwa kuongoza nchi, kwamba navy wana kazi gani
  14. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania Window laptops Vs Macbook laptops

    bonge moja la dude. kuna wale wahuni wa predator nao wana pc gaming nzuri hata kwa kufanyia desining zinafaa
  15. UKUILAIBRAH

    JamiiForums Tanzania Sallam SK,awatolea uvivu clouds media na Kusaga/Wametusamehe kwa kosa gani?

    kwani dizimm nayo anamiliki kusaga
Back
Top Bottom