Window laptops Vs Macbook laptops

Window laptops Vs Macbook laptops

Binafsi nashauri kutumia windows pc kwa sababu hata upatikanaji wa software zake ni rahisi kuliko mac. Tatizo kubwa sisi tunatumia mashine low end kwa ajili ya kazi kubwa tofauti na apple computers ambaye anakulazimisha kuupgrade kila kitu kuanzia hardware hadi software zake.
 
Dha kuna iyo moja ya dell inaitwa ALIENWAVE M15 - M17 hizi ni kwaajili ya magemu lakin spc zake ni hatari , Saiv sina tu mihamala lkn lazima nije nichukue M17 kwa ajili ya mambo yangu
bonge moja la dude. kuna wale wahuni wa predator nao wana pc gaming nzuri hata kwa kufanyia desining zinafaa
 
Kama mdau hapo juu alivyokuambia, Gpu ni muhimu zaidi, na Display port ni nzuri kushinda Hdmi linapokuja suala la monitor.

Port 1 ya display port ina uwezo wa kudrive monitor 4 za Full HD. Kuna monitor maalumu zenye dp in na out unaunganisha na waya wa dp monitor zote toka output moja ya desktop ama laptop.
daisy-chaining-displayport-how-to-1500.gif


Na njia hii sio lazima uwe na gpu kali kivile hasa kama software yako sio nzito unayotaka kuitumia kwenye multi monitor. Hata gpu za ndani za laptop zinaweza kamilisha hii kazi, laptop za kazi kama thinkpad utakuta badala ya Hdmi wanakuwekea port ya Mini dp.

Kama upo serious sana ndio utahitaji gpu highend kama hio Rtx 2080 na wengine wanaweka multi gpu, unakuta Gpu 2 zinawekwa pamoja, incase monitor zako ni high resolution kama 4k. Sema hapa jiandae milioni 10 zinaweza kuisha kimasihara tu.
Bei sawa na gari🤣
Kama ni kibiashara kama hivyo inaweza isiwe ishu. Wekeza pesa upate pesa.
 
Bei sawa na gari🤣
Kama ni kibiashara kama hivyo inaweza isiwe ishu. Wekeza pesa upate pesa.
Kama cinema wanaweka kuna kipindi quality kabla hawajafunga walikuwa na multi monitor/tv moja kubwa sana.

Na proffesional na gamers wengi siku hizi wana multi monitor setup.
 
Kwanini usitafute laptop za Microsoft Surface? Yapo matoleo kadhaa kwahiyo uangalie inayokufaa.
 
Issue ya desktop mkuu ngumu kununua vifaa nje maana ni vizito. Kama una mtu nje anayeweza kusaidia kufanya manunuzi na kukuletea tengeneza mwenyewe around Ryzen 5 3600, na rtx 1660 itakuja around hio budget, angalia zaidi hapa
Completed Builds Using AMD Ryzen 5 3600 3.6 GHz 6-Core Processor

Alternative kwa budget ndogo nunua machine used hapa Tanzania i7 na kuendelea then unai upgrade vitu kama ssd, gpu, ram etc. I7 used unazipata around laki 5 hivi.

Sema kuwa makini hakikisha power supply yake ni ya pin 24 na sio pin 8, kuna desktop zinatumia proprietary power supply ambazo ni ngumu kuzi upgrade.

Alternative nyengine ni kujilipua na capricon ila sikushauri unless umekosa option zote maana bei zake ni almost double ama triple msrp.
COOLER MASTER i7 PC - Capricorn Technologies

Mzee mwenzangu! Hizi ipason una uzoefu nazo!? Nimezama aliexpress nimekutana nazo kibao.
 
Mzee mwenzangu! Hizi ipason una uzoefu nazo!? Nimezama aliexpress nimekutana nazo kibao.
Na mimi ndio nimezisikia kwako, kwa desktop hamna neno unaangalia tu components kama zina value ila kwa vitu complicated kama laptop na All in one pc kaa nao mbali.
 
Na mimi ndio nimezisikia kwako, kwa desktop hamna neno unaangalia tu components kama zina value ila kwa vitu complicated kama laptop na All in one pc kaa nao mbali.

Nahitaji desktop moja ya kibabe.

Nikitulia nitazileta kadhaa hapa tuzicheki.
 
Europe although sijajua nchi gani coz habari niliikutia mwishoni
 
D
Nataka kutengeneza kitu kama hiki.

Nahitaji CPU yenye specification zipi?View attachment 1408729

Sent using Jamii Forums mobile app
Desktop yoyote ukifunga video card yenye output 4 unakamilisha, kuhusu performance unaweza chagua kuanzia core i5 2nd generation na kuendelea na Ram 4GB iwe minimum, 8GB ni nzuri zaidi kwasababu ya browser tabs zinatabia ya kutafuna RAM ya kutosha.
Mengine unaweza funga SSD kuongeza reading & writing speed hasa unapofungua programs na kuwasha computer.
 
Europe although sijajua nchi gani coz habari niliikutia mwishoni
Hukuelewa kuhusu ndege za mizigo, ndege za mizigo zipo na huwa zinakuja, walichomaanisha ndege za abiria hazitaruhusiwa kuja nchini isipokua ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kwa utaratibu wa waongozaji kuwekwa karantini kwa gharama zao.
 
Back
Top Bottom