MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,262
- 5,942
Uganda ya m7
UK, France na German ni vibaraka tu![]()
Nakubalina na wewe 100% Russia ndo kwanza anapigania uhuru wake. Bado hana uhuru wowote na ndo maana ana vikwazo kila kona. Nani anayeweza kumwekea US vikwazo. Uchumi wa Russia bado sana. Ni sawa na Uchumi wa Jimbo tu US. Uhuru lazima uendane na uchumi
Ushakula kande una kuja kujamba uku baada ya vikwazo nini kimetokea, baada ya vikwazo kkipi kimefata kwa walioweka vikwazo, Russia ndyo taifa ambalo lilikuwa na deni dogo kuliko mataifa yote yaliyokuwa top10 kwa uchumi mkubwa duniani, vikwazo walivyoweka wenyewe waatavitoa ni jjambo LA muda tu ndyo maana Russia hajjababaika na ivyo vikwazoNakubalina na wewe 100% Russia ndo kwanza anapigania uhuru wake. Bado hana uhuru wowote na ndo maana ana vikwazo kila kona. Nani anayeweza kumwekea US vikwazo. Uchumi wa Russia bado sana. Ni sawa na Uchumi wa Jimbo tu US. Uhuru lazima uendane na uchumi
Huna akili,Ushakula kande una kuja kujamba uku baada ya vikwazo nini kimetokea, baada ya vikwazo kkipi kimefata kwa walioweka vikwazo, Russia ndyo taifa ambalo lilikuwa na deni dogo kuliko mataifa yote yaliyokuwa top10 kwa uchumi mkubwa duniani, vikwazo walivyoweka wenyewe waatavitoa ni jjambo LA muda tu ndyo maana Russia hajjababaika na ivyo vikwazo
Hoja ipanguliwe kwa hoja.Huna akili,
Fun facts: three U.S. states have larger economies than Russia: California ($3.1 trillion), Texas ($1.78 trillion) and New York ($1.7 trillion). And California's GDP is more than twice the GDP of Russia.Ushakula kande una kuja kujamba uku baada ya vikwazo nini kimetokea, baada ya vikwazo kkipi kimefata kwa walioweka vikwazo, Russia ndyo taifa ambalo lilikuwa na deni dogo kuliko mataifa yote yaliyokuwa top10 kwa uchumi mkubwa duniani, vikwazo walivyoweka wenyewe waatavitoa ni jjambo LA muda tu ndyo maana Russia hajjababaika na ivyo vikwazo
Ndyo maana nakwambia ushhakula kande unakuja kujamba uku, wameshindwaa kumpiga saivi nani atajaribu kkumgusa uko mbeleni unaisi Russia ni nchi ya Wenda wazimu kama uku kwetu, marekani anaoggopa kurudia makkossa waliyoyafanya wakubwa wenzake wa zamani France na German kuingia vitani na urusi maana walichokipata wanakijua hakuna raisi chizi anayeweza kukubali uwoo ujinga abaddani watatuma silaha na hakuna kitakachobadilika. Uchumi wa Russia usiufananishe na wa marekani ata kidoggo yes marekani uchumi wake ni mkubwa sana hakuna anayepinga ilo ilaa unajua umeegemea kwenye nini? Kama Russia uchumi wake unggekuwa umegemea kwenye huduma kwa asilimia kubwa lleo hii uchumi wake ungeangukaa kwa asilimia 80 ila ndyo ivyoo vikwazo vimeshindwa wanabaki kubweka tuFun facts: three U.S. states have larger economies than Russia: California ($3.1 trillion), Texas ($1.78 trillion) and New York ($1.7 trillion). And California's GDP is more than twice the GDP of Russia.
Nakukumbusha kuwa kama si kuwa na Nuclear Russia hana lolote. Utakuja kuniambia saiz anawekwa kwenye Target. Akisha Jaa watapoteana. Ameachwa atambe kwa muda. Inzi alieko usoni huwezi mpiga rungu.
Ushakula kande una kuja kujamba uku baada ya vikwazo nini kimetokea, baada ya vikwazo kkipi kimefata kwa walioweka vikwazo, Russia ndyo taifa ambalo lilikuwa na deni dogo kuliko mataifa yote yaliyokuwa top10 kwa uchumi mkubwa duniani, vikwazo walivyoweka wenyewe waatavitoa ni jjambo LA muda tu ndyo maana Russia hajjababaika na ivyo vikwazo
Fun facts: three U.S. states have larger economies than Russia: California ($3.1 trillion), Texas ($1.78 trillion) and New York ($1.7 trillion). And California's GDP is more than twice the GDP of Russia.
Nakukumbusha kuwa kama si kuwa na Nuclear Russia hana lolote. Utakuja kuniambia saiz anawekwa kwenye Target. Akisha Jaa watapoteana. Ameachwa atambe kwa muda. Inzi alieko usoni huwezi mpiga rungu.
Ndyo maana nakwambia ushhakula kande unakuja kujamba uku, wameshindwaa kumpiga saivi nani atajaribu kkumgusa uko mbeleni unaisi Russia ni nchi ya Wenda wazimu kama uku kwetu, marekani anaoggopa kurudia makkossa waliyoyafanya wakubwa wenzake wa zamani France na German kuingia vitani na urusi maana walichokipata wanakijua hakuna raisi chizi anayeweza kukubali uwoo ujinga abaddani watatuma silaha na hakuna kitakachobadilika. Uchumi wa Russia usiufananishe na wa marekani ata kidoggo yes marekani uchumi wake ni mkubwa sana hakuna anayepinga ilo ilaa unajua umeegemea kwenye nini? Kama Russia uchumi wake unggekuwa umegemea kwenye huduma kwa asilimia kubwa lleo hii uchumi wake ungeangukaa kwa asilimia 80 ila ndyo ivyoo vikwazo vimeshindwa wanabaki kubweka tu
nani aliyekuambia huawei kapotea kwenye ramani ya dunia, ili hali 5G za nchi dunian mitambo ni yake. na anafanya majaribio ya 6GWewe sijui shule umesomea wapi braza, Taifa huru duniani ni USA tu, yalobaki ni vibaraka tu hawana lolote, Russia yako hiyo haiwezi kusimama agenda pale UN hadi ikapita au kuungwa mkono sasa huo uhuru wako unaoizungumzia iko wapi.
China wanaminywa makende na USA hadi this time, hawawezi chochote mbele ya USA labda kwa majirani tu, angekuwa huru Huawei isingepotea kwenye ramani duniani braza, baba wa dunia ni USA
Russia kavimbiwa hadi Ukraine, Prighozin, etc sasa huo uhuru unazungumzia nini, najua lengo lako ni kutaka kuweka Russia na USA katika level 1 bt Russia bado braza
Wapo chini ya urusi6. Cuba
7. Venezuela
Tofautisha wayahundi Na waisrael wayahundi wameashika sehem nyeti marekani ni kweli lakini sio waisrael . Israel ni kibaraka wa marekani. Ni kweli. Sasa wayahundi wa marekani huwa wanawasaidia ndugu zako waisraelIsrael hawezi kuwa kibaraka wa marekani labda iwe vice versa maana raia wa waisrael wameshika sehemu zote nyeti marekani kuanzia Hollywood mpaka kwenye sekta ya siasa
Mwongo ww mbona hata marekani huwa anavimbiwa hoja zake UN.huko Vietnam,hata Afghanistan mbona alichemshaWewe sijui shule umesomea wapi braza, Taifa huru duniani ni USA tu, yalobaki ni vibaraka tu hawana lolote, Russia yako hiyo haiwezi kusimama agenda pale UN hadi ikapita au kuungwa mkono sasa huo uhuru wako unaoizungumzia iko wapi.
China wanaminywa makende na USA hadi this time, hawawezi chochote mbele ya USA labda kwa majirani tu, angekuwa huru Huawei isingepotea kwenye ramani duniani braza, baba wa dunia ni USA
Russia kavimbiwa hadi Ukraine, Prighozin, etc sasa huo uhuru unazungumzia nini, najua lengo lako ni kutaka kuweka Russia na USA katika level 1 bt Russia bado braza
Mbona umeandika pumba Kuna tofauti kati ya wayahudi na waisrael?Tofautisha wayahundi Na waisrael wayahundi wameashika sehem nyeti marekani ni kweli lakini sio waisrael . Israel ni kibaraka wa marekani. Ni kweli. Sasa wayahundi wa marekani huwa wanawasaidia ndugu zako waisrael
Inawezekanaje kuweka takataka kundi moja na USA aisee we mvaa Kobazi niniDunia ina jumla ya Nchi 195 lakini ni Mataifa 5 tu ndiyo yako huru kisiasa, kiuchumi, kijeshi nknk. Tunavyozungumzia Mataifa huru ni yale ambayo hayaingiliwi kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na siyo kibaraka wa taifa fulani.
Mataifa haya huwa yanafanya maamuzi magumu pindi usalama wa nchi unapokuwa hatarini. Yanajiweza kijeshi, technolojia, hayaingiliwi kisiasa na taifa lolote lile. Na pia hayaogopi taifa lolote lile linapokuja suala la usalama wa nchi.
Mataifa 5 tu yako huru ambayo ni:
1. Russia
2. USA
3. China
4. Iran
5. North Korea
Hayo ndiyo Mataifa huru Duniani it’s crazy lakini ndio hali halisi. Ni huzuni kuona Mataifa makubwa kama Ufaransa, Ujerumani, Japani na UK hayako huru.
Hata WW3 itatokea bhas hayo Mataifa juu yatakua chanzo.
Inawezekanaje kuweka takataka kundi moja na USA aisee we mvaa Kobazi nini
Nicaragua6. Cuba
7. Venezuela