Wengi tutamkumbuka mzee huyu kwa ucheshi wake na jokes.
Pia tutaumis muziki wake wa marimba.
Binafsi mara ya mwisho mzee huyu nimwona Kinondoni kwenye bar ya Uhuru Peak akila gambe.
Pumzika kwa amani mzee wetu!
Kawaida sana!
Hiyo ni Emirates boing 777 wala sio Air bus 380 jumbo class ni biz bei ni million 350000
Ambacho hamkijui FA kalipiwa tiket na Big boss Sallah wa home shopping center
Na safari ilikuwa ya US
So wana JF msidanganyane FA na Muziki wake hana mbavu ya kukata tiket hiyo
Sio yeye tu...
Jamaa anasema alienda kusoma na alipirudi akakuta kibarua chake kimeota ngaro
Ila anakiri ITV ndio kituo bora cha TV Tanzania,Amesema wakimwita hata usiku wa manane yupo tayari kwenda kufanya kazi ni sehemu bora na kituo bora kabisa.
Majuto mjukuu!
Uchumi wa Tanzania haujawahi kuwa mbovu namna hii toka nchi imepata Uhuru.
Kila ninapopita wafanya biashara na wafanyakazi ni malalamiko tu.
Kwa maoni yangu hali hii ikiendelea kabla ya uchaguzi mkuu watu lazima watafanya maandamano ya nchi nzima ya kulazimisha mageuzi ya kiutawala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.