Sharobaro aonekana mitaa ya Mwenge Stand

Sharobaro aonekana mitaa ya Mwenge Stand

Mkuu Saitot hata madereva wa daladala wanamjua....huwa wanamwambia shtua ...basi anafanya makeke yake
 
Hahaha mara ya kwanza,nilipo muona sinza nilishangaa nikasema labda mgonywa mshipa wa puru umekatika
 
Msosi wake ni ugali dsgaa na nyanya chungu kwa mama ntilie, pia hana simu alivyoweka masikioni mkwara tu
 
Huyu mshikaji anamikogo hatari..maskani yake ni pale Sinza makaburini..

Hahahahaha... huyu jamaa anaishi KAWE anafanya kazi Mikocheni kwenye magari ya kuzoa Taka.

Anatokaga Kawe anatembea kwa Mguu hadi Sinza,anaenda kwa masela kuvuta ganja.

Anatembea kwa malingo sana... ukimpa mkono anatoa leso mfukoni na kupangusa mkono wake yaani kana kwamba umemchafua... hahahahaha. Hiyo mitaa ya mwenge anavokatiza watu wote hawana mbavu... anatembea kama dunia yote yakwake.
 
Nimekuja mbio nikidhani ni yule original kafufuka kumbe ni huyo kichwa moto wa Sinza.
 
Kuna Wa Kila Aina Mkuu Na Siku Hizi Mlima Moto Kawe Ndiyo Mpango Mzima Kwa Wazee Wa Slope. Ni Jirani Kabisa Na Hapo Mti Pesa Kawe Ukwamani Panatazamana Na ATM Hiyo Ya NMB. Kazi Kwako / Kwenu.

Mkuu ni ile baa upande wa kushoto kutokea Lugalo ukipita tu kituo cha mabasi ya kawe-k/koo? Ina paa la makuti?
 
Mkuu ni ile baa upande wa kushoto kutokea Lugalo ukipita tu kituo cha mabasi ya kawe-k/koo? Ina paa la makuti?

Hapo Hapo Mkuu. Kuna Totooz Hapo Za Kisingidani Na Urangini Si Mchezo! Na Kila Baada Ya Mwezi Wanabadilishwa Na Kuletwa Wengine. Anaondoka Messi Na Anaingia Ronaldo Je Unategemea Nini? Mlima Moto Kawe Ukwamani Stendi Ndiyo Habari Ya Mjini Kwa Sasa Kwa Wenye Matatizo Ya Ndoa, Wasiojua Kutongoza Na Wapenda Kitonga au Senkeke au Wami Na Wala Hawana UKIMWI Hivyo Uzeni Mechi Hamtakufa.
 
Mmmm kapromo kakiana haka!
 
Back
Top Bottom