BBC: Kijana wa miaka 17 apunguzwa uume

BBC: Kijana wa miaka 17 apunguzwa uume

Washa mwondolea ladha huyo wange mwacha aendelee kuwachapa
 
Mm huu unatosha sipunguzi sijasikia wa kusema kua ni mkubwa au mdogo basi mm nawatandika tu
 
Mkubwa Ndo Hbr Yenyewe Wengne 2natafta Kubw Yeye Anataka Dogo.Hv Uktaka Kuenlarge Utafanyaje?
 
hehehehe dogo nomaa angekuwa bongo kuna midada yetu fulani hivii mirohooo kwa madude makubwa wangemuweka ndanii
 
10 inch itakuwa mzunguko (circumference)
 
Urefu wa kiganja chako
ni sawa kabisa na urafu wa
''Mtarimbo'' wako
na Diameter ya pua yako
ni sawa na ya ''mtarimbo'' ukiwa umelala
 
150212140029_upasuaji_640x360_bbc_nocredit.jpg


Mvulana mmoja amefanyiwa kile madaktari wanasema ni upasuaji wa kwanza wa kupunguza uume wake.
Kijana huyo wa miaka 17 alikuwa akilalamika kwamba hangeweza kushiriki katika tendo la ngono ama hata kushiriki katika michezo swala lililomshinikiza kuomba kupunguzwa uume wake.
Kabla ya kufanyiwa upasuaji huo uume huo ulikuwa na urefu wa nchi 7 na ukubwa wa nchi 10.
Daktari wa upasuaji Surgeon Rafael kutoka chuo kikuu cha Florida kusini ambaye alifanya upasuaji huo aliliambia gazeti la mail online kwamba ''kuna wakati ambapo kila daktari wa upasuaji hupata ombi la maajabu linalokuwacha kinywa wazi.
''Swali hilo ni Je, unaweza kuufanya uume wangu kuwa mdogo''?.
Kwa wale waliohitaji kufanyiwa upasuaji huo, uume wao haui mkubwa wakati unapodinda bali huwa mgumu.
Daktari huyo alisema kwamba wengu hufanyiwa upasuaji wa kukiongeza kiungo hicho na wala si kukipunguza.
Kijana huyo alifanyiwa matibabu hayo na kumaliza matatizo yake.
Chanzo:BBC SWAHILI
 
Back
Top Bottom