Sharobaro aonekana mitaa ya Mwenge Stand

Sharobaro aonekana mitaa ya Mwenge Stand

Hapo Hapo Mkuu. Kuna Totooz Hapo Za Kisingidani Na Urangini Si Mchezo! Na Kila Baada Ya Mwezi Wanabadilishwa Na Kuletwa Wengine. Anaondoka Messi Na Anaingia Ronaldo Je Unategemea Nini? Mlima Moto Kawe Ukwamani Stendi Ndiyo Habari Ya Mjini Kwa Sasa Kwa Wenye Matatizo Ya Ndoa, Wasiojua Kutongoza Na Wapenda Kitonga au Senkeke au Wami Na Wala Hawana UKIMWI Hivyo Uzeni Mechi Hamtakufa.

Ngoja nimuelekeze house boy wangu ili apunguze kuchekacheka. Mimi hapo hapanifai, sisi wazee wa kutoka jasho ndipo ule chakula bora sio bora chakula.
 
Mkuu Saitot hata madereva wa daladala wanamjua....huwa wanamwambia shtua ...basi anafanya makeke yake

Jamaa ni smart hatari unaweza fikiri anaogopa kakanyaga vyupa barabarani, lkn hata hy body weight inamsaidia maana ni mwembamba aisee!
 
Jamaa ni smart hatari unaweza fikiri anaogopa kakanyaga vyupa barabarani, lkn hata hy body weight inamsaidia maana ni mwembamba aisee!

Mkuu ni kweli Jamaa kama anahepa vyupa dah!
 
u celeb ushaanza hivyo, mara tutaanza kumuona kwenye comedy show za TV
 
u celeb ushaanza hivyo, mara tutaanza kumuona kwenye comedy show za TV

Maisha mipango kama analenga hapo huyu jamaa atakua amejipanga. Akomae ukweli atatoka tuu takribani miezi 8 imepita toka nimuone huyu bwana sinza. Sikujua lengo lake lakini naanza kyona dalili ya malengo yake. Big up.
 
Huyu jamaa nishawai kumuona, ana mikogo ya hatari.. Hapo atatembea kwa miguu kutoka mwenge mpaka sinza barabarani watu watamshangilia kichizi.. .
Kiafya safi sana, mwili anaupa mazoezi
 
Uzuri wa Dar es Salaam vituko huwa haviishi🙂 Hutakiwi kulipia comedy shows Jiji hili; comedians wapo kila sehemu🙂
 
mitaa ya mwenge nishamuonaga kama mara mbili..burudani tosha.
 
Hapo Hapo Mkuu. Kuna Totooz Hapo Za Kisingidani Na Urangini Si Mchezo! Na Kila Baada Ya Mwezi Wanabadilishwa Na Kuletwa Wengine. Anaondoka Messi Na Anaingia Ronaldo Je Unategemea Nini? Mlima Moto Kawe Ukwamani Stendi Ndiyo Habari Ya Mjini Kwa Sasa Kwa Wenye Matatizo Ya Ndoa, Wasiojua Kutongoza Na Wapenda Kitonga au Senkeke au Wami Na Wala Hawana UKIMWI Hivyo Uzeni Mechi Hamtakufa.

Mkuu hiyo baa inaitwa Mlima Pub na sio Mlima wa Moto.
Hatareeeee...mkuu unakunywa bia huku toto linakuzungushia mzigo mbele yako kufuatisha mdundo wa muziki.
 
Back
Top Bottom