Recent content by UKOSI

  1. U

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kuwa umerogwa

    Umewahi kujiuliza kabla hujarogwa na Baada ya kurogwa ulikuwaje? Kabla ya kurogwa ulipanga kuwapa majina gani watoto wako ambayo umewapa hadi Leo? Kabla YA kurogwa ulipanga kuolewa na mwanaume gani ambaye unaye Kwa sasa? Kabla YA kurogwa ulipanga kuishi maisha gani ambayo unayo sasa hivi...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Nchini Saudi Arabia

    maisha yenyew ya kwapi haya tutaenda wengi,atakayebak mwache abaki
  3. U

    JamiiForums Tanzania Lazima mjue kutofautisha

    Demu wako na wangu Kashkash na mkopo Kicheche na mlupo Utando na ukoko.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa Hijja ni halali kikatiba?

    Kwa zanzibar hakuna tatizo.ile ni nchi wanahaki na taratibu za kujitawala.
  5. U

    JamiiForums Tanzania BASATA yaonya wanaotumia vibaya mitandao

    Ss vp kuhusu shilole.huyu si alifungiwa ss inakuaje anapiga show za magufuli.mi naona ingekua poa km wangeanza na shilole.
  6. U

    JamiiForums Tanzania BASATA yaonya wanaotumia vibaya mitandao

    Tatizo la basata wamegeuza ukweli kuwa uadui.NATOKA TANZANIA BY NIKKI MBISHI(nchi ambayo raisi ni mzito kwenye maamuzi/anafungia macho vigogo na walanguzi/vya msingi nyuma vya mbele ni vya kipuuzi/na juzi alikuwa kwenye msiba wa bongo movie)Umeelewa?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Polepole aunga mkono zoezi la Push Up

    Huyu jamaa alianza vizur mno tatizo alipoingia huku raia hawamwelew
  8. U

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya hoja ITV washiriki ni walewale, Why?

    Haahaahaha kuna mmoja anajiita prof Maganga huyu jamaa anafurahisha sana.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    hahahahAAAAH eleza ndugu., ..
  10. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kuhusu vijana waliohitimu mafunzo ya JKT kwa kujitolea na kudai kuajiriwa na Serikali

    jibu vizuri ww co unakua km kiazi
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nyama choma

    kuna sehe mu inaitwa KWETU PAZURI ipo tbt sanene
  12. U

    JamiiForums Tanzania Helo Helo Tanzania!

    helo helo tz,nchi ambayo ina maajabu mengi ya dunia,kubwa kwangu mm ni kuckia mtu kafaulu lakini hajui kusoma wala kuandika,tujiulize waliofeli hawajui nini?NAIPENDA NCHI YANGU.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Helo Helo Tanzania!

    Natokea Tanzania taifa lenye viongozi wazito kimaamuzi,hii ndio Tanzania vijana tunanunua gazeti kwa ajili ya kusoma habari ya diamond na wema, umeme unapanda bila hata sababu maalum,huduma mbovu za afya,wanaokimbizwa mtaani ni wavuta bangi,ila wezi wa epa,Richmond na upuuzi mwingine wapo...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    naombeni ushauri ndugu zangu nimepewa 5mil kwa ajili ya biashara nifanye biashara gani,
  15. U

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara nchi ya Thailand

    ahsante kaka,umenishawish ki2 hapo
Back
Top Bottom