Wawe na shukran wamezuiliwa kabla hawajaingia wangefika na ikabainika wanalawitiana wangekaa jela waheshimu sheria za nchi japo zenji mapunga ni wengi kuliko binadamu wa kawaida angalau wameonyesha wapo na mamba
Sema waislamu wanapitia magumu sana Asia kwa wabudha na wahindu ila wao wao waliambiwa adui yao ni mayahudi na manasara tu bas wanakomaa kinoma na wakristo na wayahud wakati kwakina dalai lama wanachinjwa kama ndege pori husikii milio popote India wanachezea vichapo misikitini mwao husikii milio...
Bahati yuko sahihi ila Lwaga aloshawah kusema alikua anataman kuimba bongo fleva ikashindikana akasema ajaribu gospel huenda akatoka na kweli akatoka ata ukisikiliza ngoma zake ni inspirational jams hamna gospel mule anajitahid ngoma zake zisikilizwe na watu wote so ni nadra sana kumsikia Yesu...
Yeah na couple nyingine hio ni njia yao kupigia vibunda kwa mafogo .mke anajirengesha kwako mnapanga venue kwaajili ya zinaa anampa update mmewe mmewe anakuja kuwafumania anamjambisha mwana, kes iende mahakaman au mmalizane kibingwa nje ya mahakama
My take kama ukikutwa na fumaniz z na mke wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.