Uliwahi kopa hela kwenye app za online, ilikuwaje?

Uliwahi kopa hela kwenye app za online, ilikuwaje?

Bahati mbaya haijawa kunikuta nakidhi vigezo...

Yas waanidai, Voda waanidai, airtel line ulipotea ila nilikuwa kuna kifurushi lazima nilioe deni.

Ama kweli nilikuwa kapuku wa kutupwa
Naongelea zile app za play store.na sio hizi za midandao ya cm.
Huko hata nikikopa lazima nirudishe.
Nasemea zile app zenye riba mara 4 ya ulichokopa
 
Ulitakiwa uwafungie tu.no ngeni isiingie kwa cm yako.hiyo ndo kiboko yako.
Nimekopa sana hizi app karibu zote
Wakikukosa wanakuchoresha wana access na phonebook yako wajinga wanasomq hadi msg zako pia wana access na gallery yako sema kibongo bongo wanaruhusiwa tu kutumia phone book yako watawqpigia adi maaskofu wako kisa sabini elfu
 
Wajinga wale.
 
Back
Top Bottom