Recent content by ujanamajiyamoto

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kilichonifanya Niache kununua Dada poa(Malaya)

    Kwanza kabisa! Heshima kwenu watumiaji wa pampuchi za Bei Nafuu pamoja na wale wote walio kwenye mahusiano.. Sitaki kuwachosha Sana.. Yafutatayo ni Mambo yalionifanya Nichukie kwa dhati ununuzi wa Pampuchi kwenye mwaka huu wa fedha(2020-2021). 1.Mazingira mabovu ya ufanyaji wa mapeNzi! Mara...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya mfumo huu wa Elimu

    Sahihi Ila maana yako unayoilenga bado sijaipata! Naomba ufafanuzi Abby.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya mfumo huu wa Elimu

    Upo sahihi Kijana Endelea kupambana hongera kwa kutambua Hilo suala mapema.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Msaada.. Biashara ya samaki

    Mbona Bagamoyo unawatoa mbali Sana?? Sijui Faida itakuwaje, Ila Jitahidi utoe pale ferry! Otherwise utaumia.. Biashara ya samaki haieleweki!
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi?

    Nina wasiwasi na Afya yako kiongozi.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tunaotaka kugombea ubunge 2025 tukutane hapa

    Kijana pambana kwa ajili ya maisha yako! Achana kabisa na siasa... Utaambulia patupu... Kama unaweza kuwa chawa UVCCCM sawa.. Ila utapoteza muda tu.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Nafanya makosa yote ila si kuoa mke asiyesoma

    Wasio Soma kivipi??? Chunguza wake wote wa marais hapa Tz alafu angalia there Education Level, hapo ndio utajua ujui.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    [emoji1][emoji1][emoji1] Hatari kwakweli
  9. U

    JamiiForums Tanzania Huu ni unyanyasaji wa kijinsia

    Pumba Tupu.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wakuu habari..

    Mmh kwaiyo awe na wakala??? Huoni Kama uwakala utamfanya awe busy na kusahau mayai yake[emoji1][emoji1]
  11. U

    JamiiForums Tanzania Wakuu habari..

    Uza na baadhi ya vifaa vinavyo hitajika katika kufuga kuku mfano ndoo za Maji...Kama kwenye attachment hapo chini. Lakini pia unaweza kuanza kuuza vyakula vya kuku..more advanced na packed product na sio kumwaga mapumba... Unaweza pia kuuza packed product za lishe kwa watoto...mfano unga wa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Chumba self contained karibuni

    Duuh[emoji1][emoji1]
Back
Top Bottom