Tunaotaka kugombea ubunge 2025 tukutane hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,812
Reaction score
60,668
Natumai wote mambo yenu yanaendelea Kama kawaida poleni na kazi. Huu ni Uzi maalumu ambao lengo lake kutukutanisha vijana wenye lengo la kujaribu kujiingiza kwenye siasa za nchi yetu kupitia nafasi ya ubunge majimbo mbalimbali.

Uongozi Ni haki yetu na kwa kweli tunaweza natamani 2025 wabunge wengi watokee humuhumu Jamii Forums maana tunajua mengi Sana na tunaweza kusaidia taifa.

NB: Usitaje Jimbo Wala chama utakachogombea isipokuwa tupeane matumaini, changamoto na mbinu mbalimbali tunapoianza hii Safari.

Binafsi yangu Mimi Nina mpango wa kuingia rasmi mwaka huu nilikuwa Sina kadi ya chama ninachokitaka nitafuatilia Kisha nitaanza kujiingiza katika nafasi ndani ya chama lengo nitengeneze connection nimechoka kuona watu wanachukua kibahati bahati ilihali muda huu ni wangu.
 
Nyota njema huonekana asubuhi. Kama mpaka sasa hujakumbukwa hata kwenye utendaji wa kata, usitegemee uje kukumbukwa kwenye ubunge. Tumia muda huu kujishughulisha na kilimo cha mazao ya kudumu kama karafuu, parachichi na michungwa. Huo mshahara atakao kuwa anaupata mbunge kule mjengoni mwaka 2026, wewe utakuwa unautoa shambani.
Usipoteze muda wako kama Pascal Mayalla.
 
Mimi nina sifa na vigezo vya kuwa mbunge kupitia chama changu cha upinzani Chadema. Ila tatizo nikishachaguliwa itanilazimu kuwa nakatwa milioni 1 kila mwezi na chama kupitia account ya mwenyekiti ambae ndio mwenye mamlaka ya kutafuna mamilioni hayo bila kuulizwa na chama, wala mwanachama yoyote kwa muda wa miaka mitano. Sasa kwa style hiyo bora niwe mpambe tu wa kawaida, huku nikishuhudia viongozi wa chama wakijineemesha kupitia ruzuku na michango mbali mbali ya wanachama, wafadhili nk. Hii ni style ya siasa za wajinga ndio waliwao.
 
Acha uzuzu bwana Dudumizi sijui sisimizi Kama unaona hiyo Hela ndugu mwenyekiti anaifaidi anzisha Chama chako na uweke masharti unayoyataka wewe sio kulia Lia kwenye vyama walivyojipinda wanaume wenzio kuanzisha eti usikatwe wewe ni nani?

Halafu Toka lini ukawa CHADEMA wewe MATAGA ?

Halafu Chadema Huwa hawalazimishi mtu agombee
Kingine ni ushukuru hata hao wanatoza kidogo ningekua Mimi Ndio mwenyekiti ningepiga nusu Kwa nusu Kama hutaki amsha nenda LUMUMBA ambako hawakati tuone Kama utapata hata hicho kidogo snich!
 
Mimi nina sifa na vigezo vya kuwa mbunge kupitia chama changu cha upinzani Chadema. Ila tatizo nikishachaguliwa itanilazimu kuwa nakatwa milioni 1 kila mwezi na chama kupitia account ya mwenyekiti ambae ndio mwenye mamlaka ya kutafuna mamilioni hayo bila kuulizwa na chama, wala mwanachama yoyote kwa muda wa miaka mitano. Sasa kwa style hiyo bora niwe mpambe tu wa kawaida, huku nikishuhudia viongozi wa chama wakijineemesha kupitia ruzuku na michango mbali mbali ya wanachama, wafadhili nk. Hii ni style ya siasa za wajinga ndio waliwao.
Ikiwa unataka kuwa mbunge kwa sababu ya mshahara huna future wala hujui unataka nini

Kwa maana hiyo unataka kutumia chadema kama platform ya kufikia malengo yako tu basi

Huna unachowaza kuhusu kuendeleza chama utafanya kampeni kwa hela ya nani
Au leo hii unadhani chadema wanajiendeshaje

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kukatwa kupo mkuu lkn sio kwa utaratibu huu ambao unawaumiza wagombea.
 
Mimi nina sifa na vigezo vya kuwa mbunge kupitia chama changu cha upinzani Chadema. Ila tatizo nikishachaguliwa itanilazimu kuwa nakatwa milioni 1 kila mwezi na chama kupitia account ya mwenyekiti ambae ndio mwenye mamlaka ya kutafuna mamilioni hayo bila kuulizwa na chama, wala mwanachama yoyote kwa muda wa miaka mitano. Sasa kwa style hiyo bora niwe mpambe tu wa kawaida, huku nikishuhudia viongozi wa chama wakijineemesha kupitia ruzuku na michango mbali mbali ya wanachama, wafadhili nk. Hii ni style ya siasa za wajinga ndio waliwao.
Una mawazo ya kimaskini sana, kwahiyo kama utagombea lengo lako ni kujineemesha na kusaidia jamii inayokuzunguka?,bado tuna safari ndefu aiseee
 
bwege kabisa, hata kanisani watu wanatoa sadaka ili kuendeleza kanisa
 
Una mawazo ya kimaskini sana, kwahiyo kama utagombea lengo lako ni kujineemesha na kusaidia jamii inayokuzunguka?,bado tuna safari ndefu aiseee
mkuu usipate taabu kubishana na msukule
Hilo jamaa ni limataga tunalifahamu Kwa post zake za kinafiki humu
Hata Office ya makao Makuu ya CHADEMA haliyajui labda ya LUMUMBA!
 
Ikiwa unataka kuwa mbunge kwa sababu ya mshahara huna future wala hujui unataka nini
Kwa maana hiyo unataka kutumia chadema kama platform ya kufikia malengo yako tu basi
Huna unachowaza kuhusu kuendeleza chama utafanya kampeni kwa hela ya nani
Au leo hii unadhani chadema wanajiendeshaje

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Lipumbavu la LUMUMBA hilo usijipe taabu kulipa elimu ni Moja ya Ile misukule Wala hajawahi kuwa CHADEMA huyo bwege mpotezee!
 
Natumai wote mambo yenu yanaendelea Kama kawaida poleni na kazi. Huu ni Uzi maalumu ambao lengo lake kutukutanisha vijana wenye lengo la kujaribu kujiingiza kwenye siasa za nchi yetu kupitia nafasi ya ubunge majimbo mbalimbali.

Uongozi Ni haki yetu na kwa kweli tunaweza natamani 2025 wabunge wengi watokee humuhumu jamiiforum maana tunajua mengi Sana na tunaweza kusaidia taifa.
NB:Usitaje Jimbo Wala chama utakachogombea isipokuwa tupeane matumaini, changamoto na mbinu mbalimbali tunapoianza hii Safari.

Binafsi yangu Mimi Nina mpango wa kuingia rasmi mwaka huu nilikuwa Sina kadi ya chama ninachokitaka nitafuatilia Kisha nitaanza kujiingiza katika nafasi ndani ya chama lengo nitengeneze connection nimechoka kuona watu wanachukua kibahati bahati ilihali muda huu ni wangu.
Hongera Mkuu.
Namimi InshaA ALLAH nitaingia kwenye kinyang'anyiro hicho 2025.
 
Kijana pambana kwa ajili ya maisha yako! Achana kabisa na siasa... Utaambulia patupu...

Kama unaweza kuwa chawa UVCCCM sawa.. Ila utapoteza muda tu.
 
Mimi nina sifa na vigezo vya kuwa mbunge kupitia chama changu cha upinzani Chadema. Ila tatizo nikishachaguliwa itanilazimu kuwa nakatwa milioni 1 kila mwezi na chama kupitia account ya mwenyekiti ambae ndio mwenye mamlaka ya kutafuna mamilioni hayo bila kuulizwa na chama, wala mwanachama yoyote kwa muda wa miaka mitano. Sasa kwa style hiyo bora niwe mpambe tu wa kawaida, huku nikishuhudia viongozi wa chama wakijineemesha kupitia ruzuku na michango mbali mbali ya wanachama, wafadhili nk. Hii ni style ya siasa za wajinga ndio waliwao.
Wewe sifa hizo huna na kama ni mwanachama utakuwa mamluki wa kijani.
 
Mimi nina sifa na vigezo vya kuwa mbunge kupitia chama changu cha upinzani Chadema. Ila tatizo nikishachaguliwa itanilazimu kuwa nakatwa milioni 1 kila mwezi na chama kupitia account ya mwenyekiti ambae ndio mwenye mamlaka ya kutafuna mamilioni hayo bila kuulizwa na chama, wala mwanachama yoyote kwa muda wa miaka mitano. Sasa kwa style hiyo bora niwe mpambe tu wa kawaida, huku nikishuhudia viongozi wa chama wakijineemesha kupitia ruzuku na michango mbali mbali ya wanachama, wafadhili nk. Hii ni style ya siasa za wajinga ndio waliwao.
Sawa......kwanini usiombe CCM wakununue kama ilivyotokea kwa akina Waitara? Au huuziki pia? Isitoshe dalali wenu wa ununuzi siku hana issue yoyote, amebaki kufundisha uongozi kwenye TVs.
 
Mkuu imeshagundulika kuwa swala la CCM kununua watu ilikuwa ni propaganda tu za mwenyekiti wetu na genge lake. kama unavyoona kwenye picha jinsi wanavyojikusanyaga kutengeneza propaganda za uongo kupinga serikali, kudanganya nk, ili kuwahadaa wanachama wetu.

images (26).jpeg
 
Back
Top Bottom