Shida kubwa ya chadema ni kuamini wapo smart kwa 100% which are wrong. Pia kuamini wanaweza kuleta mageuzi nchi hii wao kama wao tu,, Imani kwamba kuanzia juu ni rahisi huku kukosa akili wanatakiwa kuanza chini kabisa kujenga na kuvuna wananchi... Waache kula michangooooo
Achana na maandamano mzee fanya kibarua chako pata unga kale na wanao hilo ndio fungu lako kutoka kwa mola wako... siasa na biashara hapo wanasubiri wewe ufe halafu wanasiasa waitane Ikulu kujadili namna ya kula keki ya taifa baada ya wewe kufa
1. Mara nyingi huwa najiuliza hivi kweli chadema wanajua wanataka nini? Mara nyingi wamekuwa wanachagua njia yenye miba sana kwa wafuasi wao ili wakijichoma wao wapige kelele
2. Kwanza lazima wakubali Nchi ina Uongozi kwahiyo kuheshimu mamlaka ni lazima sio hiyari..... maana mwisho wanaoteseka...
Huyu kacopy toka kwa polepole na ujinga ulimjia kichwani kuamini kuwa anaweza kuongea vile.. wenzake wapo nje ya Nchi akina Maria, Polepole Sativa sasa wewe unakaa Ukonga unaongea halafu unasema Jeshi Jeshi Jeshi.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.