Recent content by ugly25

  1. U

    JamiiForums Tanzania Boss kuweka mshahara mezani

    Mbona sijaona ajabu yoyote
  2. U

    JamiiForums Tanzania Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

    Wabongo wengi washazoea mawigi hata uwafanyie maombi hawaachi
  3. U

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

    Take it easy my dear,case closed
  4. U

    JamiiForums Tanzania Air hostesses wa Air Tanzania ni warembo balaa ila...

    Nashangaa hapo walipo wamebana matumbo mpaka wanajamba,afu baada ya kuona wigi stimu zote zimekata
  5. U

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

    Aya kila la kher sidhan kama kutaja kambi n ishu kubwa
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mama Mzazi wa Erick Kabendera azungumzia uraia wake

    Jaman watu tunaotoka mpakan tuna kazi sasa kuna wale washakariri eti wahaya n weus bas wakikuona mweupe wanaanza kubwabwaje jaman msijitie wajuaji sisi ni watanzania kama hamtak bas turudisheni rwanda pumbavu
  7. U

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

    Merinah ni ww bhana niambie umepangiwa kambi gani inaezekana tukakutana hko maana nipo kwemye mafunzo ya intake mpya
  8. U

    JamiiForums Tanzania Shinikizo la damu ladaiwa kusababisha kifo cha askari aliyefumania

    Kama huna moyo wa kuhimili hayo ya nini kufumania,mapenzi haya wazaz ndo tunawapa shida
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kondom zilizotumika zinanunuliwa kwa buku mbili

    Wadau sidhani kama kila kitu kinahitaji mzaa mleta uzi hii ishu aloleta ni very sensitive,mbegu za kiume zinatumiwa san na wachaw ikiwa ni pamoja na kutungisha mimba kwa njia ya kichaw,m naona cha muhimu wanaume wote ukijua huwa unaacha uji wako pale ni bora uondoke nao au tafta namna yoyote ya...
Back
Top Bottom