Recent content by Udugu Feki

  1. Udugu Feki

    JamiiForums Tanzania Vita ya Israel dhidi ya Iran inaigharimu dola milioni 400 wa siku

    Mbona Marekani mchafuzi wa dunia anayo nyuklia na watu wameuchuna tu
  2. Udugu Feki

    JamiiForums Tanzania Vita ya Israel dhidi ya Iran inaigharimu dola milioni 400 wa siku

    Kwanini wengine wawe na haki ya kumiliki nyuklia wengine iwe ni hatia
  3. Udugu Feki

    JamiiForums Tanzania Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

    We kibane bane mpaka kiliwe na nyenyere!!
  4. Udugu Feki

    JamiiForums Tanzania Muasisi wa neno Ponjoro ajiandaa kuomba Msamaha

    Na yule alietuita Kenge atuombe msamaha!!
  5. Udugu Feki

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa CCM unawaita Wananchi KENGE? Anaishauri DOLA iendeleze Utekaji na Uuaji dhidi ya Kenge (Watanzania)?

    Hii hoja eti Mzanzibari akipat madaraka hii iache mar moja ... ila tujadili kuhusu hili la kenge
  6. Udugu Feki

    JamiiForums Tanzania Sio rahisi kupata Papa mweusi“Itakuwa ni muujiza”

    K Wani kutawala Mzanzibari imeku nongwa?
  7. Udugu Feki

    JamiiForums Tanzania Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe

    CCM imeshajifia kitambo ...kinachowasaidia ni majeshi na bunduki zao!!
  8. Udugu Feki

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

    Achana na vilevi ...ishi maisha bila ya vilevi wala sigara utanishukuru!!!
  9. Udugu Feki

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola amekamilisha talaka kwa kupoteza Jumba na Nusu ya utajiri wake, mtalaka adai Pep alikuwa bize na mpira

    Afadhali hajamchiti kaka yule wa Robert Carlos
  10. Udugu Feki

    JamiiForums Tanzania Tunawezaje kuzuia double agents, inazidi na itazidi kuwa changamoto

    Ile Nokia C1 ya batan
  11. Udugu Feki

    JamiiForums Tanzania SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    Mi umenifurahisha hapa kwenye manabii pia unahisi wanavuta bangi na ukawataja Mosses na Jesus ...sasa hawa wenye Jesus wao wakikusikia unamvutisha bange ...sijui itakuwaje
Back
Top Bottom