Recent content by Udo9

  1. Udo9

    JamiiForums Tanzania Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Safi sana Uhamiaji panahitaji reforms na reforms zenyewe ndo kama hizo.Kazi nzuri sana
  2. Udo9

    JamiiForums Tanzania Makonda: Awamu ya 3 imekamilika, tukutane ukumbi wa Mwl Nyerere

    Safi sana Makonda.Inshallah kitaeleweka tu
  3. Udo9

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa vipo kigamboni kibada block 18 "

    mmh jamani pesa za kutupa hivyo siku hizi hamna .Bei ulizozitaja hapo juu haziendani kabisa na uhalisia wa awamu hii ya tano.
  4. Udo9

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba Inauzwa kilimahewa Mwanza

    kwa jinsi navyoiona hiyo nyumba ilivyo karibu na hiyo nguzo sijui ni ya simu au ni ya umeme ,ni bora ukatoa full details kuhusu hiyo nyumba kama iko kwenye mpango wa mji au la ,ukubwa wa eneo at least tujiridhishe kabla ya kufika sehemu iliyopo hiyo nyumba.
  5. Udo9

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: I wish I could be IGP; Ni kuhusu wale wanakwaya pale central

    Safi sana Magufuli
  6. Udo9

    JamiiForums Tanzania Nasema Hivi, Bunge Lina Mapapa Wa Madawa ya Kulevya, Na Mimi Niitwe Kamati Ya Maadili Ya Bunge,

    Mleta mada uko sahihi kabisa
  7. Udo9

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Kwa kweli kwa sentensi hizo alizozisema NAPE sijazielewa kabisa .
  8. Udo9

    JamiiForums Tanzania Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

    Asante sana kwa kutujuza ! Ni mada inayojenga
  9. Udo9

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Rais Magufuli hakutafakari kuhusu suala la kurudisha machinga katikati ya mji

    upeo wako wa akili unaonekana ni mdogo sana ! RAIS ni kiongozi wa watu ambao waliomchagua , sasa kuna ubaya gani akitatua migogoro ya wananchi wake direct .Tatizo lenu miisha zoea urasimu mwingi
  10. Udo9

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Rais Magufuli hakutafakari kuhusu suala la kurudisha machinga katikati ya mji

    Huijui mwanza wewe kama ungekuwa unaijua usigeropoka ujinga huo uliouandika
  11. Udo9

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya utengenezaji ndege ya Boeing

    Safi sana mzee magu.Soon tutakuwa tnatumia usafiri wetu usio wa kibaguzi
  12. Udo9

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

    Hiyo ni biashara mzee, sasa kama wao wanatangaza hali mbaya .Sisi tunajua biashara itaendeshwaje .
  13. Udo9

    JamiiForums Tanzania CUBA: Mwanasiasa na Mwanamapinduzi, Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90

    man of action! Ni mfano wa kuigwa
  14. Udo9

    JamiiForums Tanzania Lowassa autathimini mwaka mmoja baada ya uchaguzi

    Porojo tu hizi .
Back
Top Bottom