Viwanja vinauzwa vipo kigamboni kibada block 18 "

Sep 13, 2016
5
2
01. Ukubwa sqm 900 ina hati miliki. Bei tshs 45 mil.

02. Ukubwa sqm 1200 ina hati miliki. Bei tshs 65 mil.

03. Ukubwa sqm 2000 ina hati miliki. Bei tshs 100 mil.

Kwa maelezo zaidi au kwenda kuona
Tuwasiliane kwa namba hii 0759 510 593
 
mmh jamani pesa za kutupa hivyo siku hizi hamna .Bei ulizozitaja hapo juu haziendani kabisa na uhalisia wa awamu hii ya tano.
 
Ukigawanya hapo, squaremeter moja inakuwa imeuzwa elfu 50. Hii bei bado sana. Hata kama kimepimwa, hii bei haina uhalisia.
 
Acha hizo ....bei utafikir umetajwa ktk list ya central ?? :)

01. Ukubwa sqm 900 ina hati miliki. Bei tshs 45 mil.

02. Ukubwa sqm 1200 ina hati miliki. Bei tshs 65 mil.

03. Ukubwa sqm 2000 ina hati miliki. Bei tshs 100 mil.

Kwa maelezo zaidi au kwenda kuona
Tuwasiliane kwa namba hii 0759 510 593
 
01. Ukubwa sqm 900 ina hati miliki. Bei tshs 45 mil.

02. Ukubwa sqm 1200 ina hati miliki. Bei tshs 65 mil.

03. Ukubwa sqm 2000 ina hati miliki. Bei tshs 100 mil.

Kwa maelezo zaidi au kwenda kuona
Tuwasiliane kwa namba hii 0759 510 593
Nikimaliza kuuza unga wangu nitakutafuta.
 
Mmmmmh bei kubwa sana si bora mtu aende mwembe mdogo kigamboni anunu pasipopimwa kwa 5mapate heka = sqm 4900 then imgarimu 1.5m kupima.
 
01. Ukubwa sqm 900 ina hati miliki. Bei tshs 45 mil.

02. Ukubwa sqm 1200 ina hati miliki. Bei tshs 65 mil.

03. Ukubwa sqm 2000 ina hati miliki. Bei tshs 100 mil.

Kwa maelezo zaidi au kwenda kuona
Tuwasiliane kwa namba hii 0759 510 593
Hakuna kiwanja chenye bei hiyo, labda wauzie NSSF. Au unachanganya na kipindi cha JK, wakati wenzako wanauza hadi 15 milioni na hawapati mteja. Pole sana.
 
Msisingizie awamu ya 5, nyinyi ndio wale mafisadi sasa mmetumbuliwa hamna pesa mnaanza kulia lia. Watu waliokuwa wanapata mapato yao halali hawajayumba na bei imeeleweka mtoa post kuwa na subra tu vitanunuliwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom