Recent content by UdakuziMtandaoni

  1. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania Mbinu Tano za Kutafuta Kazi

    NI NANI hupata kazi bora? Je, ni yule anayestahili zaidi? “La,” anasema Brian, mshauri wa kazi. “Mara nyingi yule anayetafuta kazi akitumia mbinu nzuri ndiye hufanikiwa.” Unaweza kutumia mbinu gani kutafuta kazi? Acheni tuzungumzie madokezo matano. Uwe Mwenye Utaratibu Ni rahisi kuvunjika moyo...
  2. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania Msaada wa harufu ya kinyesi gheto

    Pole sana na matatizo hayo, pengine itakuwa ndio matambiko ya ibada za kishetani ndio maana unasikia harufu.
  3. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania Haya ni majukumu ya Usalama wa Taifa wawapo kazini

    Naitamani sana hii kazi
  4. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

    Ndio maisha yalivyo unavuma na kisha unatoweka. Hata uwe jeuri kiasi gani, hakuna kupona kwenye Kifo. Kitu cha msingi ni kujiandaa na kuishi vizuri duniani.
  5. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania Wazima humu

    Tayari wameshakwangua thread yangu nyingine.
  6. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania Wazima humu

    Asante sio Broo hapo umeteleza sio kuanguka. Wakuswaga nafungua nyingine kwani wanashida gani?
  7. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania Wazima humu

    Kumbe hata wewe, nilidhani pekeyangu. Unajua kuna wakati mods hata hawasomi yaliyoandikwa. Kwa kweli wamenikwaza sana
  8. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania Wazima humu

    Kweli ni raha
  9. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania Wazima humu

    sasa kwa nini waaache kazi zao?
  10. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Watanzania ni waoga kufanya manunuzi Mtandaoni?

    Mitandao sio mizuri sana, kwani matapeli nao hawachezi mbali. Na hapo ndio tatizo linapoanzia
  11. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania Wazima humu

    Uamuzi wa kupeleka Wabunge kushangilia Stars sio wa kiungwana hata kidogo. Kwani kazi zao za Bungeni nani anawafanyia?
  12. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania Hodi jamani naomba kukaribishwa mimi ni mgeni

    Unatunyima nini humu?
  13. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania Hodi jamani naomba kukaribishwa mimi ni mgeni

    Karibu hadi chumbani best
  14. UdakuziMtandaoni

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

    Ngoja na mie nijifiche uvunguni sasa
Back
Top Bottom