Recent content by UchebeOriginal

  1. UchebeOriginal

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi awataka Watanzania kunyamaza kimya

    Huyu ni Prof Kabudi mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Warioba Alitambua umuhimu wa vyama vingi, uhuru wa kujieleza na maoni ya walio wa chache. Leo anasema tukae kimya kama tukishindwa kusifia serikali? Acha siku iishe tu [https://abs-0] [https://abs-0] Sent...
  2. UchebeOriginal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Terrorist

    Tanzania tupo vizuri. Ikitokea kama ya kenya, tutakamata hadi bodaboda mwenye ndevu nyingi, kijana mchafu, asiye na kitambulisho cha utaifa aliyekuwepo hapo,mpita njia asiyejielewa, etc Yani tungewashika zaidi ya watu 70 wanaosadikika kuhusika then segereaa kutoka kama uamsho. Sent using Jamii...
  3. UchebeOriginal

    JamiiForums Tanzania Neeeeeeewz[emoji23][emoji23]

    *BAD NEWS* Vichwa vitatu vimekutwa kwenye begi, Hii imetokea hapa maeneo ya Chukwani leo, wasichana wawili walichukua tax toka Darajani kuelekea Chukwani basi mara dereva akahisi harufu kali akawaona polic wawil barabaran akasimama ili hayo mabeg mawil ya hao wasichana yasachiwe, polis...
  4. UchebeOriginal

    JamiiForums Tanzania Kweli kuishi kwingi kuona mengi

    1. Njombe UKIMWI sio kitu cha ajabu 2. Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa. 3. Manyara usipoua Simba we shoga. 4. Mara mke akiwa hapigwi anaomba talaka. 5. Mwanza mtoto mchanga wa siku moja anapewa ugali sio maziwa. 6. Kagera huko hata barabara ya vumbi wanaita fly over. 7. Kigoma...
  5. UchebeOriginal

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, kiumbe adimu aliye hatarini kutoweka

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. UchebeOriginal

    JamiiForums Tanzania Mwanadada Sasha Katika Ubora Wake

    Umeingia Zako Magettoni Unakutan na Zigo Namna Hii Utafanyaje[emoji23][emoji23]
  7. UchebeOriginal

    JamiiForums Tanzania #MerryBlueChristmas Sio Ya Lawaida

    New Camon 11 pro
  8. UchebeOriginal

    JamiiForums Tanzania Hello Guyz My Name Is UCHEBE

    Nshafungua Akaunt mara kibao tu lkin nasahau pswd ila round hii itakua ngumu sana naomba mnipokeee
  9. UchebeOriginal

    JamiiForums Tanzania Kicheko Tu

    [emoji23][emoji23][emoji23] Wla sijui
  10. UchebeOriginal

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu

    Unakumbuka Tarehe na Mwezi Kama Wa Jana Mnamo Mwaka 1961 Lt. Alexander Gwembe Nyirenda Ndio Alikua Mzalendo Wa Kwanza Kupandisha Bendera Ya Tanganyika Juu Ya Mlima KILIMANJARO Miaka 57 Iliyopita.. .......................................................................... It is the first death...
  11. UchebeOriginal

    JamiiForums Tanzania Kicheko Tu

    NENO LA LEO MBINU UNAZO TUMIA KULA DADA ZA WATU NA WENZIO NDIO WANAZO TUMIA KUMLA DADA AKO.....NDIO MAANA MPAKA LEO HUJAMJUA...SHEMEJI YAKO
Back
Top Bottom