Kweli kuishi kwingi kuona mengi

Dec 10, 2018
11
7
1. Njombe UKIMWI sio kitu cha ajabu

2. Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa.

3. Manyara usipoua Simba we shoga.

4. Mara mke akiwa hapigwi anaomba talaka.

5. Mwanza mtoto mchanga wa siku moja anapewa ugali sio maziwa.

6. Kagera huko hata barabara ya vumbi wanaita fly over.

7. Kigoma kati ya watu 10 basi 8 sio Watanzania

8. Shinyanga kuokota hirizi ni kama kuokota jani la mwembe uchawi no stress

9. Tabora wasomali wengi kuliko waswahili

10. Dodoma mtoto anazaliwa kanyoosha mikono. Anajifunzia uomba omba tumboni

11. Rukwa hawa hata hawajui kama wapo Tanzania..

12. Mbeya ukinywa chai usitumie dakika Kumi la sivyo inaganda.

13. Iringa kujinyonga ni ushujaa.

14. Morogoro wanaamini wao ni wajanja kuliko
Dar Es Salaam.

15. Pwani hawa ni mgambo wa jiji la Dar wanalinda Mkoa.

16. Lindi mkoa mkuubwaaa ila sehemu kuubwaaa ni hifadhi ya wanyamapori.

17. Mtwara wanalinda korosho kuliko uhai
wao...

18. Ruvuma huko nasikia hawatumii Tsh
wanatumia kwacha.

19. Dsm kila mtu taperi, Anaweza kujitaperi
hadi nafsi yake!

20. Kilimanjaro ikifika December Mji unajaa. Sijui hata watu wanatoka wap?

21. Singida hapanaga tofauti na jangwa la Sahara. Full vumbi!!

22. Tanga mtoto akizaliwa tu, anavalishwa shanga
kiunoni. Za nini mie sijui..
```
#Msiniulize jamani. ```
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom