Mimi ni mkazi wa kata ya UBUNGO ,mgombea udiwani wetu kwa CHADEMA anaitwa BONIFACE JACOB ambaye pia ni naibu mkurugenzi usalama wa Taifa chadema,huyu mheshimiwa hakubaliki kwani hata kwenye kura za maoni alishindwa kwa kura 9,ILA AKABADILI matokeo na kumuondoa mshindi na kujiweka...
Kuna watu kama avogadro na wenzie wanashabikia upuuzi ni mawakala wa freemasons na shetani ila ukiwafuatilia ndugu zao na wake zao wanavaa nguo za kujisitiri ila wanapumbaza vibinti na wamama mapoyoyo,kipi kinakufanya uonyeshe paja lako au makalio for what atakayekutamani ni kukuchezea tu...
Tuwe na desturi ya kujibu hoja hata kama ni pumba au kama huwezi ni bora kuwa kimya,kwa nini mhusika Ben mwenyewe asijibu badala yake mnasaidia kujibu navyomjua Ben anaweza na hili ni dogo sana kwake,ila masuala mengine ya undani au chuki za watu fulani si vizuri yaletwe humu jukwaan tena jukwaa...
Mbunge au kiongozi yeyote anayetishia ubabe wananchi wake ni dalili ya kutokujiamini na anafanya hivyo akijua kuwa anaowafanyia hawajui sheria,ila asifikiri pesa ndo kila kitu,mwisho wake umekaribia sana
Mnyika ni mbunge mahiri ila wanaomuangusha ni madiwani wake hasa Boniphace Jacob wa ubungo,huyu amepwaya sana tena sana hakuna alilofanya zaidi ya kumsikia na u redbrigde wake,yaan hakuna na tuna kazi kweli ya kumnadi kama atagombea tena yaan ni kazi kubwa mnielewe jamani,Bony ni mzigo sawa na...
Tumejitahidi sana kumtafuta na kupeleka kero zetu kijana hajibu wala haelewi ila kipindi kile anagombea alikuwa haipiti wiki ni lazima atutafute,mbaya zaidi diwani wetu ndio mlinzi wa akina mbowe dah tunajuta sana
ni bahiri,hana mke japo umri umeshafika,hapendi kufika mtaa wa kibo ndani ya jimbo lake la ubungo,anajisahau kuwa ubungo ni jimbo la wasomi na anachukulia poa tu kwamba ataupata ubunge kiulaiiiiiin,ngoja tutaona,sisi ndo wana udsm bhana
Mbunge wangu Mnyika haonekani Ubungo na hatimaye bunge linaenda kuanza.Nilisikia huwa anapita kuchukua kero kabla ya kwenda bungeni mbona nimekwenda mara 10 sijampata.
Jamani mnisaidie namba yake ile ya voda hapokei wala hajibu meseji.
swali langu ni katika tuhuma za ufisadi wa richmond ni kwa nini hakujiengua mapema hadi tuhuma zimeibuka na kuwa hot ndo akaamua kujienguea 2.Je yuko tayari kuunda serikali ya mseto akishindwa na ukawa 3.naomba anieleze chanzo cha utajiri wake na kuhusu kauli ya mwalimu nyerere kuwa utajiri wake...
Waziri kivuli bungeni yuko njiani kuelekea ubungo terminal,ebu tujiulize nini kitafanyika yuko pamoja na waziri kivuli uchukuzi na wa usafirishaji,mwanachi mwenzangu nini kitatokea,kweli serikali haina mwenyewe,mwenyewe yuko ulaya na familia yake
Taarifa na nukuu nyingi zimekuwa zikitolewa kwa lengo la kumkashifu au kumsifia EL,ebu turejee maneno ya wazee,lisemwalo lipo kama halipo laja na asiyesikia la mkuu huvunjika guu na ngoma ikivuma sana,sana tena sana mwishowe hupasuka.Katika kufuatilia kwangu siasa na uraisi nilipewa taarifa hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.