Nape akimbia nguvu ya Mnyika Ubungo

Nape akimbia nguvu ya Mnyika Ubungo

Wizi wameongezeka ubungo ktk kipindi chako daladala za ubungo makoka nauli 600 badala ya 400 ni umbali ea km moja na nusu kwa sababu barabara haipitiki hata wenye magari hawafiki na magari yao makoka wanalaza river side.

.

Naomba kuuliza swali Mkuu,

Hivi Mbunge ndiye anaye-set nauli za daladala?
 
Ubungo hata aje mcheza mieleka na majini yanayomlinda lazima aangukie pua mbele ya Mnyika. Ile ni kichwa bana!
Huyo jamaa anachojua yeye ni kueneza chuki dhidi ya mtu mmoja wakati Mnyika anaeneza maendeleo kwa wananchi.
 
Una uhakika kwamba Nape alishindwa na Shamsa Mwangunga?
 
Nape hana uwezo wa kujenga hoja, ata ukatibu wa NEC Kikwete alimzawaidia kutokana na urafiki wake na babake Nape. Kama Lowassa atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM itakuwa ndo mwisho wa Nape.
 
Kunakazi gani Mnyika ameichapa hapa Ubungo? Shida zile zile.

Kazi za mbunge ni zipi? Na wajibu wa serikali ni upi? wananchi je? ukishajibu hayo maswali unaweza kuhitimisha kuwa mh. mbunge hajafanya kitu au amefanya.
 
Mwache akimbilie huko walikolala usingizi wa pono; siku wanakuja kustuka CCM walishajimilikisha rasilimali zao zote ikiwa ni pamoja na ardhi. Nape ni binadamu wa kushindana hoja na Mnyika!?
Ukiondoa Kigoma, kama issue ni kuichagua CCM, ni wapi huko kwingine ambako hakuna waliolala? Arusha? Kilimanjaro? Mbeya? Iringa? Singida? Wapi exactly ili tuangalie CCM wana majimbo mangapi na UKAWA kwa umoja wao wana majimbo mangapi! Au unataka kusema Dar es salaam yote wamelala kasoro Ubungo na Kawe? Unataka kusema Iringa wote wapo kwenye usingizi wa pono kasoro Iringa mjini? Au unataka kusema Singida yote wanakoroma kasoro Singida kwa Lissu?
 
Kiukweli Jimbo la Ubungo ni jimbo gumu, 2010 CCM ilifanya kosa kusimamisha debe tupu!, kosa hili CCM imeligundua kosa hilo na kuamua kufuata ushauri wa Mwalimu Nyerere, kuwa "kufanya kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa!", hivyo 2015 CCM hawatafanya kosa tena, na uamuzi wa Vuvuzela kuliepuka jimbo hilo linalohitaji watu makini kama JJM, ni uamuzi wa busara, hivyo kuamua kugombea majimbo ya vibonde!.

Pasco

wewe ni Pasco wa JF au Pascal Mayalla pia @Nape hana uwezo kushinda Ubunge jimbo la Mtama
 
Last edited by a moderator:

Mbona huu ulioufanya pia ni ubaguzi...lakini ni kweli watu wa kusini wamelala...hawajitambui

kama kujitambua kwenyewe ni ubinafsi, ujambazi pamoja kutafuna ruzuku ambayo ni kodi ya watanzania bora tusijitambue tubaki kuwa wazalendo wakweli na waaminifu kwa nchi yetu kama kina mzee kingunge na kawawa
 
Lusinde mwingine anaelekea bungeni. Kazi kweli kweli.

unampa matumaini Nape ambayo hayapo,hawezi chaguliwa,Mtama wana MTU wao(CCM),nape ni Mgombea wa membe(Nape ni MTU anaependa kujipekeza)...
 
Nape naye ana ndoto za kugombea ubunge labda huko chalinze
 
kama kujitambua kwenyewe ni ubinafsi, ujambazi pamoja kutafuna ruzuku ambayo ni kodi ya watanzania bora tusijitambue tubaki kuwa wazalendo wakweli na waaminifu kwa nchi yetu kama kina mzee kingunge na kawawa
Kingunge pia mzalendo? Hili neno sasa limekosa maana.
 
wewe ni Pasco wa JF au Pascal Mayalla pia @Nape hana uwezo kushinda Ubunge jimbo la Mtama
Mkuu mimi ndio Pasco wa JF, ambapo kwangu JF ni kama ajira kwa kushinda jf 24/7, nalala jf, nammka jf, na kila wakati niko jf, sina shughuli nyingine yoyote ninayofanya zaidi ya kushinda jf, na kuripotia jf!. Yule Pascal Mayalla yeye ni mtu wa ukweli, ni verified name, ni mwandishi wa habari na mtangazaji akiyaandikia magazeti kadhaa na kutangaza vipindi vyake kwenye televisjeni kadhaa, yeye hashindi jf.

Kutokana na mfanano wa majina yetu, kati ya Pasco na Pasca, sio tuu wengi wanatufananisha bali sometimes hujikuta hata sisi wenyewe tunajifananisha, kwa mimi kuitwa Pascal na Pascal kuitwa Pasco.

Kwa wale waliosoma kitabu cha Dr. Sigmund Freud "Dr Jekly & Mr. Hyde" wanataweza kunielewa!, tofauti kubwa kati ya mimi na yeye ni kama zilivyo tofauti kati ya Me & I, and sometimes we hit together!.

Kwa wale wa zamani mnaolijua ABBA Group, tofuta wimbo wa Me & I!.
https://youtu.be/wXCGcbAbNY4
Pasco
 
Kunakazi gani Mnyika ameichapa hapa Ubungo? Shida zile zile.
Kwani Mbunge ndio analeta maendeleo we kweli ndio............:teeth:
Kazi ya maendeleo ni serekali na serekali iliyopo madarakani bora hata tungekuwa hatuna hata Serekali
 
Mnyika ni mbunge mahiri ila wanaomuangusha ni madiwani wake hasa Boniphace Jacob wa ubungo,huyu amepwaya sana tena sana hakuna alilofanya zaidi ya kumsikia na u redbrigde wake,yaan hakuna na tuna kazi kweli ya kumnadi kama atagombea tena yaan ni kazi kubwa mnielewe jamani,Bony ni mzigo sawa na Pamba wa sinza lao ni moja wazee wa totttttttz.
 
Kunakazi gani Mnyika ameichapa hapa Ubungo? Shida zile zile.
sasa mbona kakimbilia porini?? mwambieni ailete sura yake hapa Ubungo aone wananchi watakavyomsurubu mchana mchana!!
 
Back
Top Bottom