Recent content by uboya

  1. U

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Mkurugenzi mpya wa (TCRA) Dk. Ally Simba

    Dk. Ally Yahaya Simba aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Julai 2015. Kabla ya uteuzi huo, Dk. Simba alikuwa Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia tangu Agosti 2013. Dk. Simba ana uzoefu...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapinga billlioni 6 kurejeshwa Serikalini

    Msigwa na sugu ni majipu.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Riba za mikopo kwa watumishi, CRDB na NMB

    CRDB na NMB mikopo kwa watumishi ni asilimia 18 kwa mwaka..ukichukua milion kumi kwa miaka mitano utarejesha sh milion kumi na nne..kwa mwez watakukata wastani wa sh laki mbili na nusu.
  4. U

    JamiiForums Tanzania NSSF yazidi kuumbuka: Ufisadi wa ujenzi wa Hoteli Mwanza, jengo la biashara Mzizima

    Hii filamu naifananisha ya ile ya january makamba..Mwisho wa siku Magu hatofanya lolote kwa dr dau.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mrema afuta kesi ya Ubunge dhidi ya Mbatia

    Amsamehe hakuna namna.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Sakata la bomba la mafuta; Rais Kenyatta atinga Ufaransa,apania kulipitisha bomba Kenya

    Wakenya ni matapeli tu.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mizengo Pinda amaliza mgogoro wa Mahakama ya Kadhi

    waraka wa wakristo hauna tija kwa taifaa, ungekuwa waraka wa wananchi wote ingekuwa poa...sisi tusio wakristo hatujui content wa hizo nyaraka zinazosomwa makanisani.
  8. U

    JamiiForums Tanzania kukataa elimu ya kidato cha nne kwa wabunge.

    katiba ni ya wananchi sio ya vyama vya siasa.
  9. U

    JamiiForums Tanzania kukataa elimu ya kidato cha nne kwa wabunge.

    Rasimu ya Katiba yaendelea kuchanwa chanwa na MA CCM baada ya kukataa elimu ya kidato cha nne kwa wabunge. Najiuliza wana fanya hivi ili kuwabeba wakina LUSINDE walioishia darasa la saba au wanataka serikali ipitishe mambo wanayo yataka kwa urahisi bungeni..sasa hivi hata kazi ya ulinzi...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kuna hitilafu Gridi ya Taifa? Umeme wakatika ghafla nchi nzima...

    dah! Warudishe tuangalie mpira aisee
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma, Jamhuri Stadium: Uzinduzi wa 'Tanzania naiaminia'

    itabidi tu question masters yake, baada aungane na wanaharakati kupambana na mafisadi wa ccm yeye anapeleka njaa zake kwa magamba kina mwigulu mchumba... Jitambue nick.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma, Jamhuri Stadium: Uzinduzi wa 'Tanzania naiaminia'

    nakaona kamwana FA kanajipendekeza kwa JK....hawa wasanii wamelogwa na nani
  13. U

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

    nani mshauri wa JK??
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma, Jamhuri Stadium: Uzinduzi wa 'Tanzania naiaminia'

    dah! Huyu jamaa anapenda sana bata... Anatamani awe kijana tena. Poor president.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Fedha za safari za rais zapigwa panga

    nyambavu zao, miaka yote walikuwa wap au wameona uchaguzi unakalibia??
Back
Top Bottom