Rasimu ya Katiba yaendelea kuchanwa chanwa na MA CCM baada ya kukataa elimu ya kidato cha nne kwa wabunge. Najiuliza wana fanya hivi ili kuwabeba wakina LUSINDE walioishia darasa la saba au wanataka serikali ipitishe mambo wanayo yataka kwa urahisi bungeni..sasa hivi hata kazi ya ulinzi wanawachukua walioishia kidado cha nne. #UKAWA mbona mnachelewa kuitisha maanda mano kupinga uhuni unao fanywa na MA CCM??