Mrema afuta kesi ya Ubunge dhidi ya Mbatia

Mrema afuta kesi ya Ubunge dhidi ya Mbatia

Huyu mzee na vyama vyake tumewakataa hapa vunjo
 
Watamuua mzee wa watu halafu Rais amesahau ahadi yake nini khs huyu mzee?sie tunakumbuka ampe tu ht ukuu wa Wilaya.
 
Mimi ntainunua Nyumba yake ya sinza ikipigwa mnada kama akishindwa kulipa deni,ni kumpeleka mbio mbio mpaka sukari ipande awe wa kulala nyumbani tu
 
Uzee mwingine kazi sana jamaniii, Mrema hajui WhatsApp akalale tufanye kaziii na vijana
 
Sasa wajukuu wa mrema watapata wasaa mzuri wa kucheza na babu yao
 
Back
Top Bottom