Habari za muda wadau wa JF,
Kwa majina naitwa xxxx nimefanya nikiwa kama Loading supervisor kwenye kampuni ya usafirishaji kwa miaka miwili na nusu ila kwa sasa sina kazi.
Elimu
- Diploma in Logistics and Transport management
kutoka Chuo cha usafirishaji (N.I.T), Plus
- Certificates in...
Namuona T.L anaweza akawachachafya CCM 2025 Lakini sio kipindi hichi cha JPM, wao ngoj tuna macho na masikio aliyoyafanya JPM kipindi cha mpaka mitano vinaonekana itakuwepo ngumu kwa T.L kushinda uraisi Katika awamu yake.
Habari wana JF wa jamvi hili la Ajira. Nina diploma ya Logistics and Transport Management kutoka katika chuo cha usafirishaji (N.I.T), plus Microcomputer course kutoka University of Dar es salaam (U.C.C).
Nina experience ya miaka miwili kusimamia magari na madereva, nina skills za kutosha...
Binafsi nauli ya kwenda kazin toka Machinga Complex to Kigamboni ni Tsh 450 kwahiyo kwangu Tsh 50 ni deal. Siwezi kuichukulia poa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.