momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 1,930
- 1,955
Ukiondoa wachache wenye imani za kishirikina,kuacha kuokota hela uliyoiona dhahiri shahiri ni dharau moja mbaya sana.
Hii nibila kujali unapesa nyingi ama lah,thamani ya pesa ni kubwa na heshima yake ni ya hali ya juu sana.
Duniani watu wote wanaoamka aubuhi na kutoka asilimia 90 wanakwenda kutafuta pesa kuacha kuokota pesa ni kibri.na kibri ni sifa ya Mwenye enzi Mungu.
Mwanaadamu hutakiwi kua na kibri .okota nenda katoe sadaka,pita kampe mwenyeuhitaji,kuiacha kunaweza kuifanya ikapotea na ikakosa kumfikia mwenyeuhitaji.Mimi nafsi haiwezi kukubali kutookota pesa niliyoiona .
Sent using Jamii Forums mobile app