Acha tu, 4 trilioni na upuku puku pensheni za wafanyakazi zimeliwa na dola, mandege yasiyo na faida kwa wengi na tunalzimishwa kusherekea huku kumtua ndoo ya maji mama hatujafanikiwa, masafari ya ndege kama yote kwa viongozi kama washamba, kukatika kwa maji na umeme kwa kwenda mbele, kurudishwa...