Taulo la Kaseja lazua balaa Mbeya

Diplomat Son

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
5,998
2,000
Shabiki anayedhaniwa kuwa ni wa Mbeya Cirty ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alipoona ‘kosa-kosa’ zimezidi kwenye goli la KMC FC dakika za majeruhi, kwenye mchezo wa VPL jana [Jan 2, 2021] alivamia uwanja kutaka kutoa TAULO la Juma Kaseja lililokuwa golini.

Baada ya kuona hivyo mkongwe JUMA KASEJA aliacha goli wazi huku game inaendelea na kwenda kupambana na shabiki huyo kumzuia asichukue TAULO! Kaseja alifanikiwa kumzuia shabiki huyo na kulibakiza taulo lake golini.

Baada ya mchezo reporter wa SPORTS XTRA Mbeya [Jirani Mtembezi] akapiga story na Kaseja kutaka kujua kwa nini alitumia nguvu ya ziada kuzuia TAULO lisitolewe golini.

“TAULO sio langu ni la hotel tulipofikia, niliomba nijenalo uwanjani kutokana na hali ya hewa ya hapa, mvua zinanyesha kwa hiyo nilichukua ili niwe nafuta gloves zikilowana au mvua ikiongezeka niwe najifuta usoni.”

“Kwa hiyo kama angelichukua inamaana ningeenda kudaiwa hotelini lakini TAULO halikuwa na chochote.”

Taarifa: shaffihdauda

Kwahiyo nyie mnataka kutuambia na wengine tukiwa Hotelini basi tunaweza hata Kuondoka na Sandals zao au Sabuni kwenda nazo Mitaani na Kuogea maeneo mengine kisha tukirejea huku Hotelini katika Check Out tunavirudisha hivi Vitu vyote?

Kuna Member Mmoja hapa JF ambaye ni Mtani wenu mkubwa hupenda Kuwatania nilidhani huwaonea kumbe huwa yuko sahihi.
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,838
2,000
TAULO LA KASEJA LAZUA BALAA MBEYA!!

Kwahiyo nyie Waha mnataka kutuambia na wengine tukiwa Hotelini basi tunaweza hata Kuondoka na Sandals zao au Sabuni kwenda nazo Mitaani na Kuogea maeneo mengine kisha tukirejea huku Hotelini katika Check Out tunavirudisha hivi Vitu vyote? Kuna Member Mmoja hapa JF ambaye ni Mtani wenu mkubwa hupenda Kuwatania nilidhani huwaonea kumbe huwa yuko sahihi.
Kabila la kiha linaingiaje hapa?
 
Magangad

JF-Expert Member
May 14, 2017
835
500
Ameshatoa ufafanuzi kuwa like taulo aliliomba hotelini KWA ajili ya kujifutia maji kwenye gloves zake
 
tznchiyangu

Member
Oct 15, 2011
14
45
Shabiki anayedhaniwa kuwa ni wa Mbeya Cirty ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alipoona ‘kosa-kosa’ zimezidi kwenye goli la KMC FC dakika za majeruhi, kwenye mchezo wa VPL jana [Jan 2, 2021] alivamia uwanja kutaka kutoa TAULO la Juma Kaseja lililokuwa golini.

Baada ya kuona hivyo mkongwe JUMA KASEJA aliacha goli wazi huku game inaendelea na kwenda kupambana na shabiki huyo kumzuia asichukue TAULO! Kaseja alifanikiwa kumzuia shabiki huyo na kulibakiza taulo lake golini.

Baada ya mchezo reporter wa SPORTS XTRA Mbeya [Jirani Mtembezi] akapiga story na Kaseja kutaka kujua kwa nini alitumia nguvu ya ziada kuzuia TAULO lisitolewe golini.

“TAULO sio langu ni la hotel tulipofikia, niliomba nijenalo uwanjani kutokana na hali ya hewa ya hapa, mvua zinanyesha kwa hiyo nilichukua ili niwe nafuta gloves zikilowana au mvua ikiongezeka niwe najifuta usoni.”

“Kwa hiyo kama angelichukua inamaana ningeenda kudaiwa hotelini lakini TAULO halikuwa na chochote.”

Taarifa: shaffihdauda

Kwahiyo nyie mnataka kutuambia na wengine tukiwa Hotelini basi tunaweza hata Kuondoka na Sandals zao au Sabuni kwenda nazo Mitaani na Kuogea maeneo mengine kisha tukirejea huku Hotelini katika Check Out tunavirudisha hivi Vitu vyote?

Kuna Member Mmoja hapa JF ambaye ni Mtani wenu mkubwa hupenda Kuwatania nilidhani huwaonea kumbe huwa yuko sahihi.
Yamaanisha tutachukuwa muda sana, karne na karne kufika kombe la dunia kwa mwendo huu, ujinga na upuuzi usio kifani kwa imani hizi..
 
Mwishokambi

Member
Nov 23, 2020
16
75
Shabiki anayedhaniwa kuwa ni wa Mbeya Cirty ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alipoona ‘kosa-kosa’ zimezidi kwenye goli la KMC FC dakika za majeruhi, kwenye mchezo wa VPL jana [Jan 2, 2021] alivamia uwanja kutaka kutoa TAULO la Juma Kaseja lililokuwa golini.

Baada ya kuona hivyo mkongwe JUMA KASEJA aliacha goli wazi huku game inaendelea na kwenda kupambana na shabiki huyo kumzuia asichukue TAULO! Kaseja alifanikiwa kumzuia shabiki huyo na kulibakiza taulo lake golini.

Baada ya mchezo reporter wa SPORTS XTRA Mbeya [Jirani Mtembezi] akapiga story na Kaseja kutaka kujua kwa nini alitumia nguvu ya ziada kuzuia TAULO lisitolewe golini.

“TAULO sio langu ni la hotel tulipofikia, niliomba nijenalo uwanjani kutokana na hali ya hewa ya hapa, mvua zinanyesha kwa hiyo nilichukua ili niwe nafuta gloves zikilowana au mvua ikiongezeka niwe najifuta usoni.”

“Kwa hiyo kama angelichukua inamaana ningeenda kudaiwa hotelini lakini TAULO halikuwa na chochote.”

Taarifa: shaffihdauda

Kwahiyo nyie mnataka kutuambia na wengine tukiwa Hotelini basi tunaweza hata Kuondoka na Sandals zao au Sabuni kwenda nazo Mitaani na Kuogea maeneo mengine kisha tukirejea huku Hotelini katika Check Out tunavirudisha hivi Vitu vyote?

Kuna Member Mmoja hapa JF ambaye ni Mtani wenu mkubwa hupenda Kuwatania nilidhani huwaonea kumbe huwa yuko sahihi.
Kaseja mshirikina sana, amehojiwa na Azam TV eti anasema lile taulo alilichukua gesti hivyo lingepotea angedaiwa, kweli jaman wenye gesti wanaweza kukuruhusu utoke na taulo nje ukalichafue uwanjani then urudi nalo, Kaseja mchawi sana, amefanikiwa kumroga Ndairagije had kaitwa tena CHAN.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom