Recent content by tzkwanza

  1. tzkwanza

    Tanzania hatuna teknolojia ya kuchuja maji taka hadi tuyaelekeze mitoni?

    Leo wakati akikagua machinjio ya Vingunguti amesema maji na uchafu wote unaotoka hapo machinjioni yaelekezwe kwenye mifereji maalum hadi mtoni. Swali ni mto gani huo utakaokuwa unapokea huo uchafu? Pia hatuna teknologia ya kushughulika na huu uchafu badala ya kuutupa mtoni ambapo watoto wetu...
  2. tzkwanza

    Tanzania iruhusu watu binafsi kujenga nyumba za kuhifadhia maiti (Mortuary rooms)

    KIKUBWA HOSPITALI ZOTE ZA PRIVATE ZIWE NA MORTUARY NZURI. IKIBIDI HADI VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI/DISPENSARIES.
  3. tzkwanza

    Boss anataka kufungua biashara kupitia kitambulisho changu. Je, kuna madhara?

    USIOGOPE. AKIFUNGUA KAMPUNI AU BIASHARA KWA JINA LAKO NI YEYE NDIO ANAJIWEKA HATARINI. IPO SIKU UTAKUJA KUMNYANG'ANYA KAMPUNI ABAKI MDOMO WAZI. UZURI WEWE SIO MCHAGA NDIO MAANA KAKUAMINI. HATA AKIFILISIKA HAO WATU WATAKUPATA WAPI? WAKIJA SUMBAWANGA HAWAKUKUTI KUMBE UPO ZAKO MBELE HUKO. ISHI KWA...
  4. tzkwanza

    Boss anataka kufungua biashara kupitia kitambulisho changu. Je, kuna madhara?

    Atafilisiwa kitu gani dogo hana hata mia? Dogo msikilize bosi wako huyo ndio anakuweka mjini. Haina madhara yoyote. Mimi kuna kiNGO nilianzisha kwenye katiba na minutes za kikao huwa naandika ndugu zangu na rafiki zangu hadi sahihi zao naweka na wao wanajua na hawana noma wala nini. Bongo ni...
  5. tzkwanza

    Kiongozi wa Kikundi cha Ugaidi cha Islamic Jihad auawa na Israel

    Palestina wamekutana na vichaa wenzao. Watapigwa kama mbwa koko
  6. tzkwanza

    #COVID19 New World Order: My COVID-19 Passport

    Ina expire mwezi wa 10 duh
  7. tzkwanza

    LT. J P Mwambashi kuwa kiongozi wa mbio za Mwenge

    Ninafungua BAR hapa UBENA ZOMOZI mwenge utakuja kuzindua. Siku hiyo pombe nitauza nusu bei.
  8. tzkwanza

    Arusha: Mahakama yaamuru mfanyabiashara Philemon Mollel kunyang'anywa eneo la hekari 7 alilowekeza kituo cha mafuta

    Hiyo familia ni matapeli. Kaka anauza madogo yanafungua kesi. Mali za mirathi sio za kununua hasa viwanja.
  9. tzkwanza

    Je, nani yupo nyuma ya Hamas?

    Wewe mvaa vipedo tafuta chakula cha familia yako. Mambo ya Hamas waachie wenyewe. Tulia lea ndoa yako na mumeo. Hamas na Israel waache wamalizane. Ila kuwapa kichwa Hamas ni kuwatafutia matatizo zaidi. Watapewa kiminyo hadi waombe poo
  10. tzkwanza

    Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

    Toa upumbavu wako hapa. Wale waliompa Magufuli tuzo ya kuishinda Corona? Walijisikiaje Corona ilipomuondoa? Au kwa sababu watu walitumia hekima tu kusema ni ugonjwa wa moyo?
  11. tzkwanza

    Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

    Mimi na MAGUFULI ni kitu kimoja. Wote sisi ni wezi wa kura na tusiotaka kuwapa watanzania haki yao ya kuamua.... "aliongea ustaadhati mmoja akiwa ndani ya mfungo na hijabu kubwa"....
  12. tzkwanza

    Ole Sabaya Yuko Wapi? Kila Mahali Haonekani!

    KITUO CHA POLISI MABATINI ANANYEA NDOO.
  13. tzkwanza

    Wakuu wa mikoa wamestaafu Utumishi wa Umma kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi wao

    Hilo limasai la Morogoro lilikuwa ni kichekesho. Liende tu Monduli likafuge ng'ombe.
Back
Top Bottom