Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,185
- 8,453
Ukiangalia vita ya israel na hamas miaka iliyopita ni tofauti na mwaka huu. Miaka ya nyuma hamas hamas walikuwa wanarusha mpaka roketi 300 kwa mpigo mmoja na rocket zote zinatungulia bila kuleta uharibifu wowote ule.
Lakini mwaka huu mambo yamebadilika sana yaani kila roketi zikirushwa lazima ziuwe mtu na damage kubwa za mali za umma mpaka sasa vituo vya umeme vingi vimehabiwa vituo vya kusafisha mafuta na kuhifadhi gas uwanja wa ndege wa ben gurio kipigo kimeifanya israel kufanya mashambulizi makali dhidi ya majengo marefu huko gaza kwa kisingizio kuwa yanatumiwa na hamas.
Je uwezo huu wa roket zinazotumiwa na hamas umetoka wapi nani yupo nyuma yao nyinyi mtakuwa mashaid juzi kamanda wa hamas alisema kuishambulia israel ni rahis kama kudrink maji