Tanzania hatuna teknolojia ya kuchuja maji taka hadi tuyaelekeze mitoni?

tzkwanza

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
1,568
3,604
Leo wakati akikagua machinjio ya Vingunguti amesema maji na uchafu wote unaotoka hapo machinjioni yaelekezwe kwenye mifereji maalum hadi mtoni.

Swali ni mto gani huo utakaokuwa unapokea huo uchafu?

Pia hatuna teknologia ya kushughulika na huu uchafu badala ya kuutupa mtoni ambapo watoto wetu wanacheza?
 
Back
Top Bottom