Recent content by tz2017

  1. T

    Lukuvi: Nitamchukulia hatua mfanyabiashara aliyempa Makonda ardhi kwa ajili ya Viwanda

    Hili movie la kihindi steering anakufa mbwa wake ndio anamalizia picha
  2. T

    Ramadhan Kailima: Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni huru

    Aache kudanganya watu huyo, tume ya uchaguzi haipo huru na haiwez kua huru kwa 7b mwenyekiti wa ccm na ambae ndie rais ndio anaeiunda hiyo tume, kwa namna yoyote ile tume haitakua huru coz lazima itekelezw matakwa ya boss wao
  3. T

    Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

    Ni aina gani ya ndoa unayoitaka?
  4. T

    Gari mpya ya kifahari ya Diamond Platnumz

    Hela za madawa ya kulevya hizo
  5. T

    TBC kutokuwa super brand ni uonevu

    Tbc hawafai kabisa kua super brand hata ck1 coz kwanza vipindi vyao vyote havina maana wapo busy kuisifia serikali2 na wapo ki ccm zaid
  6. T

    Bombardier Q400 yapata hitilafu Mwanza

    Hayo ndio matatizo ya kuuziwa vitu ambavyo ni used,ndede zimetumika kwe wenzetu huko miaka 40 iliyopita then tukashikishwa wa tz
  7. T

    Kauli ya Rais Magufuli ya 'Watu Kuishi kama mashetani' inahalalisha maovu

    Rais anapaswa kujua kua maisha ni kama vidole kamwe haviwezi kulingana!
  8. T

    Zitto Kabwe kupeleka Bungeni hoja binafsi ya kutokuwa na Imani na Rais Magufuli

    Zito komaa tuko nyuma yko tunakuunga mkono
  9. T

    Kalimba, Kada wa CCM afunguka. Aeleza wazi kutoridhishwa na mwenendo wa mwenyekiti wake!

    Jamaa kaamua kuvaa bomu ni wana ccm wachache xn wenye uwezo wa kuja hadharan na kumkosoa rais wao!
Back
Top Bottom