Recent content by Tz raha

  1. T

    JamiiForums Tanzania Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

    Mbona ya mbowe hamsemi ? Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe makonda piga kazi achana namaneno yawakosaji
  2. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

    Paskali wacha kung'ata na kupuliza hizo ni tabia zakike badilika
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wema aikataa CCM na kujiunga Chadema?

    Wema ninani katika nchi hii tukufu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

    Walah maneno yako Matamu kushinda asali nimekupenda bure
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Haha sasa alikuwa anakimbia nini hajui serikali una mkono mrefu ndio ataje nawenzake wanawaomaliza taifa hili kwa madawa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

    Majina yake sisi hayatusaidii kitu ila makonda nikiongozi bora mtetezi wa wanyonge anatufaa full stop
  7. T

    JamiiForums Tanzania Utetezi wa waliotajwa kashfa ya dawa za kulevya unatia mashaka

    Kwanza nikupongeze mtoa mada hakika umeona mbali , nashauri makonda aongezewe ulinzi wa kutosha big up makonda kuondoa madawa katika mkoa wako inawezekana
  8. T

    JamiiForums Tanzania Salam za Mstahiki Meya Boniface Jacob kwa Mh Aikael Mbowe

    Muogope mchaga hata siku moja usitegemee atakuja kukukomboa shtukeni vijana ,mchaga yoyote maslahi kwanza ni aibu kwa kiongozi mkubwa kutokulipa kodi na kujihusisha namadawa ,nibora ccm itawale milele.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania tulioichoka tunaizika,tunayoililia yaja

    Makonda kaza buti na mungu atakulinda hakika wewe nijemedari
  10. T

    JamiiForums Tanzania Joseph K. Musukuma(Mb): Makonda awekwe ndani aseme anatoa wapi pesa ya kusafiri USA, UK na Dubai

    Hizi ni mbinu za kuchafuana tu makonda endelea kupiga kazi hakika umegusa maslahi za watu nakuomba usiangalia nyuma watanzania tupo nyuma yako
  11. T

    JamiiForums Tanzania Neno La Leo: Nape, Ray C Na Rehab...

    Ngoja kwanza tupambane na waingizaji nawauzaji wa madawa Ya kulevia mambo ya rehab baadae,makonda piga kazi vijana wanaangamia
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hongera RC Makonda kwa hili la madawa ya kulevya

    Mimi namkubali sana makonda walah angekuwa hana mke ningempa mdogo wangu bure bila mahari,makonda piga kazi achana na wababaishaji
  13. T

    JamiiForums Tanzania True story: Ushuhuda wa ndoa yangu

    hakuna kitu hapa nipromo kuna kanisa jipya umeingia?
Back
Top Bottom