Criminal Terminator
Member
- Dec 13, 2016
- 21
- 23
Utetezi wa baadhi ya waliotajwa kwenye sakata la Dawa Za KULEVYA "Phase II"; binafsi UMENISHANGAZA
-Nimemsikiliza Yusuf Manji, Na Leo Mchungaji Gwajima. Nimeona ni bora angenyamaza if at all hakukuwa Na namna nyingine ya utetezi zaidi ya huo alioutoa.
Nilichokiona, kulikuwa Na KUFITINISHA Kati ya Mkuu wa NCHI Na Mkuu wa Mkoa, huku Mkuu wa NCHI AKIPAKWA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA.
Rais Magufuli Kaumwa Na Kupulizwa Ili AONE kwamba yeye (Rais)Hana Shida, ila Mteule wake RC Paul Makonda ndio mwenye matatizo.
RC Makonda amechongewa KWA Rais, kama Wabunge walivyofanya Jana.
Mbunge anayemtangazia Vita Makonda, anapaswa kutiliwa mashaka. Huenda ametumwa Na wahusika wa Biashara hii au ana maslahi in anyhow katika sakata hili la Dawa Za KULEVYA; AMA ana ugomvi binafsi/wivu au CHUKI Na Makonda Na sasa ameona huu ndio mwanya wa kumaliza hasira zake. Kwanini KUKAMIA KUPAMBANA NA Mkuu wa Mkoa kiasi hicho IKIWA KWELI unachotaka ni RC wa DAR awajibishwe?
Kama Mbunge, si umeshashauri Mamlaka ya uteuzi ishughulike Na Mteuliwa wake, sasa KUTANGAZA MAPAMBANO binafsi kunatuma UJUMBE gani?
Binafsi nashauri Mbunge Msukuma afuatiliwe nyendo zake na ikibidi akamatwe.
-Hivi angetajwa ingekuaje?
Nirudi kwa Mchungaji Gwajima. Yeye amemtuhumu MTU mwingine KUHUSIKA NA DAWA ZA KULEVYA(Kamtaja kijanja).
Ikiwa Gwajima anaona hakutendewa haki, huyo aliyemtaja kwenye maelezo yake Na yeye akiamua "kurara mbere" Na Gwajima, Gwajima atasemaje??
Waliojitokeza kwenye Media kujitetea, WAMETAKA HURUMA ya "wafuasi wao katika maeneo yao" Na KUTAKA kulifanya Jambo la wao kutajwa liwe ni Jambo la "wafuasi wao pia".
KANUNI YA MSINGI:
Ukimwagiwa tope kwenye shati jeupe, usianze haraka kufanya kazi ya kusafisha shati. UNAZIDI KULICHAFUA .
Acha tope zikauke zenyewe 'shatini' HALAFU futa shati baada ya hapo.
Gwajima amejaribu kufanya Jitihada ya kupre empty zoezi la utajaji MAJINA wa wahusika wa Dawa Za KULEVYA Na kujigeuza kuwa ni suala la CHUKI binafsi, Na kuwaandaa watu kwamba kesho akitajwa Kiongozi mwingine wa dini ni muendelezo wa kuchafua Imani.
Viongozi wetu wa dini wanapaswa kuwa safi, Hakuna mwenye akili ambaye atailaani dini Fulani kwasababu ya matendo ya Sheikh, padri au Mchungaji wake.
Kila MTU atabeba zigo lake mwenyewe.
TUKUMBUKE kwamba, mpaka MAJINA kutajwa, tayari RC Na timu yake wamesha calculate all possible risks,lakini pia wamejiridhisha vya kutosha mpaka kuja publicly Na MAJINA hayo.
Kama huhusiki, kuliko kuanza kuprejudge zoezi, nenda Polisi.
WACHA MUNGU WOTE, LAZIMA WAUNGANE NA SERIKALI KATIKA VITA HIVI.
MTU yeyote Na KWA namna yoyote anayeonekana kufanya Jitihada Za kukwamisha zoezi hili, HAS TO BE TERMINATED