Recent content by Tyupa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Fundi simu maarufu ajinyonga Morogoro

    Mara nyingi matukio kama haya huambatana mtafaruki wa mapenzi.Si ajabu aligundua mkewe kimapenzi anatoka kimapenzi na rafiki yake au ndugu yake wa damu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Halotel wana lugha chafu kwa wateja

    Ukiomba mkopo Halotel kwa ajili ya dharura muda wa maongezi majibu utakayojibiwa utatamani uhame mtandao saa ile ile. Jibu lao alieliandaa nadhani ni MWEHU wa akili kwa sababu unaambiwa utapata mkopo endapo laini yako iko matumizini kwa zaidi ya miezi 3 wakati laini ina zaidi ya miaka 3 na...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Azam TV ina matatizo ya kiufundi

    Wateja wa Azm tv ni wengi sana na hili tatizo la tv kuonesha uchafu unaoganda kwenye picha linazidi kuongezeka siku hadi siku.Uongozi wa chombo hiki wangetuambia tufanyeje ili kuondokana nalo.Kama tatizo liko kwenye ving'amuzi vya zamani je tuvitupe ili tununue vipya au turudishe kwenye ofisi...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Azam TV ina matatizo ya kiufundi

    Kwa muda mrefu Azam tv matangazo yake hayako sawa sawa, kuna mawingu au uchafu unaoziba picha zisionekano vizuri. Awali nilidhani tv yangu ni mbovu kumbe tatizo hili lipo kwa kila mtu anaetumia king'amuzi cha Azam. Halafu niliona kuwa hili tatizo lipo Azam tu baada kufungua tv ya Zanzibar na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa Azam TV wamelala

    Ni muda mrefu sasa Azam TV inaonesha hali ya uchafu unaoingiliana na muonekana wa picha. Uchafu huo upo muda wote wa matangazo, ambapo awali mimi nilidhani tv yangu ina matatizo lakini kumbe tatizo hilo la kujivuruga kwa picha nililiona pia kwenye tv za jirani. Lakini mara matangazo ya mpira ya...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara stendi ya Korogwe

    Kuna ujenzi wa barabara/stendi Ko gowe unaendelea hivi sasa .Hivi sasa ni miezi kibao kama sita hivi imepita kazi inayofanyika hapo haijulikani ni kazi gani.Kuna magari na makatapila yapo hapo kila siku yanazunguka tu na kusababisha msongomano wa magari na kukaribisha ajali. Haijulikani huu ni...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Imekuaje Tundu Lissu ameumia zaidi mguu wa kulia hali ya kuwa alishambuliwa upande wa kushoto

    Sijawahi kuona swali la ajabu kama hili, ajali imetokea bus limepindika na kulalia kulia halafu abiria wa kushoto ndio walioumia, halafu mtu anaanza kuuliza kwa nini wameumia wa kushoto na si wa upande wa kulia lilikolia.Kwa kweli haya ni maswali ya mtu ambae IQ yake ni hafifu sana.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kero ya usafiri wa kupitia Loliondo

    Ni jambo la ajabu tena kushangaza kulazimisha magari ya Mlandizi via Loliondo. Kama kuna viongozi wa mkoa wa Pwani walipanga magari hayo yapitie Loliondo kwa hakika walikurupuka sana. Nashangaa walisahauje yapitie Tumbi Hospital, Mwanalugali na kwingineko kama ambavyo walikumbuka yapitie...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nyama ya nguruwe yachangia ugonjwa wa kifafa – Daktari

    Wanyama wote tufugao akiwemo nguruwe wanaweza kupata maambukizo mbali mbali ya magonjwa.Sio nguruwe tu ana tegu na maradhi mengine lakini hata ng'ombe na mbuzi au kondoo wanaweza kupata maambukizo ya magonjwa.Moja ya kazi za bwana afya ni kupima nyama zote za vitoweo kubaini magonjwa mbali...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini kabila la Watusi halipo miongoni ya makabila yanayopatikana nchini wakati limekuwepo kwa muda mrefu?

    Umesema ni kabila ambalo limetapaa miongoni mwa mikoa ya Tanzania lakini ni kabila ambalo sio miongoni mwa makabila ya Tanzania.Lakini kule kutapakaa na kuonekana hapa nchini ni tayari ni miongoni mwa makabila ya Tanzania kwa sababu wapo na wametapakaa.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kituo cha mwendokasi Kimara, ni jehanamu ya abiria

    Maelefu ya abiria wanaorundikana kituo cha mabasi ya mwendokasi Kimara mateso yake yanafanana moto wa jehanamu. Hakuna sababu yeyote ya maana ya kuwarundika abiria wote hapo zaidi ya kupigania nauli ya sh. 400 tu. Abiria wote wanaochukuliwa Mbezi Luisi kwenda mjini hakuna hata mmoja ambae hua...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Halotel rekebisheni lugha yenu kwenye matangazo yenu

    Badala ya kutumia Kiswahili fasaha Halotel hupenda kutumia kiswahili cha mtaani au cha Kizaramo kama hivi: HAUNA salio la kutosha.... badala ya kiswahili fasaha cha;HUNA salio la kutosha...Hauna hutumika kama vile; Muungano huu HAUNA faida kwa upande mwingine na huwezi kusema;Muungano huu HUNA...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hongera jeshi la polisi kufanikiwa kupata simu yangu S10+ ndani ya 24 toka imeibwa

    Niliibiwa TV na simu 2 vyote thamani yake yake zaidi ya milioni 2 na nusu.Nilipoenda polisi na kutaka kuifuatilia simu kitengo cha Cyber crime bahati nzuri alifika mkuu wa kituo cha polisi na kutaka kujua zaidi nini shida yangu.Nilipoeleza alinijibu kwa mshangao mkubwa kuwa hajawahi kuona...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Halotel mna tabia ya ajabu mno

    Likiwa ni shirika kubwa la mawasiliano hapa nchini lakini haliendani kabisa na mambo wanayowafanyia wateja wake. Katika huduma ya nipige tafu hapo ndipo Halotel wanapoonesha udhaifu wao. Ikumbukwe kwamba mteja anapoomba huduma ya nipige tafu hua ni swala la dhalura ambalo mteja anahitaji...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Msaada, napatwa na muwasho sehemu za siri

    Watu wanaleta utani sana humu, kuwashwa sehemu za siri na kutoka uchafu ni tatizo la fungus za ukeni zijulikanavyo kama Candidiasis vaginalis.Huu ni ugonjwa ambao uko kwenye kundi la magonjwa ya zinaa(Sexualy Transmitted Infection).Dawa ya Doxy aliyoandikiwa ni makosa kwa mama mjamzito na...
Back
Top Bottom