ni sahihi, basi ambatanisha mkataba zaidi ya mmoja, kwa mfano huo wa nest na pia tafutisha mikataba mwingine hata kutoka kwa taasisi binafsi....!!!! Kwa ujumla ivuke hicho kiwango...!!!!
Ukiwa na mkataba wanakusajili bila shida. Anzia kwenye TRA portal kwa kuomba usajili wa VAT na uambatanishe mkataba. Baada ya hapo, nenda ofisini kwao, ukifika omba kuzungumza na meneja.
Kozi 9 kwenda juu baada ya mkanda, msingi tofali za kulala kozi tano au sita. Usiweke structure yeyote getini. Kuwe na nguzo mbili tu kwa ajili ya geti kubwa.
Gharama za kujenga ukuta wa kuzunguka plot yenye urefu mita 60 kwa upana mita 80.
Eneo ni Arusha - ungalimited
Udongo - juu mfinyanzi, ukichimba kidogo unakutana na udogo wa kawaida
Landscape - tambarale
naomba bei na idadi ya tofauli, cement, mchanga, kokoto, chuma, mbao, ufundi n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.